Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habarii.. Kabla ya kuandika huu mkasa uliotokea miezi kadhaa iliyopita, ilibidi niukumbuke sana ule uzi wetu wa kula tunda kimasihara Acha nifike kwenye mada.. Miezi michache iliyopita, mshkaji...
6 Reactions
24 Replies
7K Views
Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka...
114 Reactions
664 Replies
63K Views
Habari za mchana wapendwa Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Jamii Forum na members mliotoa michango yenu. Nimeona si vizuri kukaa kimya bila kuleta mrejesho wa kinachoendelea...
5 Reactions
63 Replies
15K Views
Njoo tushirikishane uzoefu kuhusu vizinga vya wanawake wa hapa na pale. Kwa upande wangu kuanzia mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa kumi vizinga tu nilivyopangua ni zaidi ya milioni 2 na bado hapo...
12 Reactions
87 Replies
4K Views
Ni huyu mke ninaekaa naye, juzi tuligombana mara baada ya yeye kukuta meseji ya mwanamke mwingine akiniomba nimpitishie hela ya kula. Nikiri wazi kweli nilikosea, na niliongea naye nikijua...
10 Reactions
92 Replies
4K Views
Nilikutana na huyu binti wa kimwera mrembo na nusu guu la bia na shepu la kuombea mkopo bank yoyote nchi hii tukawa tunawasiliana vizur Siku moja akaja geto akasema hakai saana akaja nikamshika...
25 Reactions
55 Replies
6K Views
Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili...
0 Reactions
7 Replies
654 Views
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote kwa pamoja tuitikie kazi iendelee. Natumai wanajukwaa la MMU hamjambo, mimi kama mwenyekiti chipukizi wa jukwaa hili naomba kuileta...
11 Reactions
58 Replies
17K Views
Wanawake hua siwaelewi. Kwanza hawajui zama hizi ukitongozwa umepewa thamani ya juu sana. Maana hivyo viungo vyenu vinapatikana bila kutongoza. Sasa unakuta mwanamke anatongozwa anatoa majibu...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
1. Binti alikuwa mwanachuo, chuo flani Mkoani. Nimeenda kikazi ndo bado kijana miaka hiyo. Katika kupita pita town nikakutana naye kwenye duka moja la vinywaji. Nikamtamani nikaomba namba ya simu...
81 Reactions
349 Replies
42K Views
Ndoa Kwa wenzetu wenye I.Q kubwa sio kama vile tuzaniavyo sisi huku afrika, kwao ndoa huwa zinaenda au huwa na malengo ya ndani zaidi, ambayo pengine ni ya kitabia, akili za familia fulani na...
3 Reactions
19 Replies
847 Views
Majibu ya sensa yamevuja uko "Katika kila vijana kumi, kuna vijana kumi wanateseka na mapenzi". Umeshawahi mfata msichana mkiwa sekondari akakujibu shombo kinoma, halafu baada ya miaka kama 9...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Roho ya mauti ni mbaya sana, kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu, jitahidi umjue. Jua atleast mahusiano yake matatu nyuma yaliishaje, yalikuwaje? Kuna mtu ukiingia naye tu kwenye mahusiano...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu...
28 Reactions
53 Replies
5K Views
Tukiachana na tereza wa kule Kigoma ambao ni wanaume ambao walikuwa wakitembea uchi usiku huku mwili mzima wakiwa wamejimiminia mafuta ya mawese kisha kwenda kwenye majumba ya watu, kuvunja...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama hauna kipato au fedha za kumhudumia mwanamke uliyenae kwenye mahusiano basi ujue: 1. Muda wako wa kuwa kwenye mahusiano haujafika. 2. Hauna mapenzi ya kweli kwa huyo mdada. 3. Unaendeshwa...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano. Ila kwa sasa sina hisia naye kabisa, natafuta njia nzuri ya kumpiga chini. Je, nimchane simtaki au nimpotezee kimya kimya, maana anatuma tuma ujumbe kila...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero. Chenji ya jero akanipiga kwa...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom