Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari waungwana. Hivi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14? Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho? Ina maana una mkufuru Mungu kiasi hicho...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki...
12 Reactions
81 Replies
6K Views
Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi...
25 Reactions
85 Replies
6K Views
Kwa wanaume wote, Usiruhusu manzi akawa rafiki yako kama ulim-approach kwa lengo la mahusiano. Kuwa mwanaume ni TUNU tosha, thamani yako siku zote huongezeka kadri siku zinavyoenda mbele...
7 Reactions
2 Replies
880 Views
Ladies n gents shalom! Aisee nimeamini mapenzi ni unconditionally, unaweza kupendwa na yeyote, popote, na vyovyote. Hivi tulijua kuwa Uwoya angeweka wazi hisia zake za mapenzi kwa Keny...ta? The...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo asubuhi mke wangu, amenipigia simu nimpe ushauri kuhusi hili jambo, kati ya Baba ake na kijana wake wa mwisho (aged 28) Tatizo liko hivi huyu kijana mdogo wake wife kapata wazo la kutafuta mke...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Salamu wa ndugu. Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya...
3 Reactions
92 Replies
7K Views
Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI. Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa...
52 Reactions
157 Replies
16K Views
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k Juzi juzi kaomba nimpatie pesa...
75 Reactions
159 Replies
12K Views
Yani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani. Naombeni "Connexion" za...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Katika sura yote ya 18 ya kitabu cha mambo ya Walawi kwenye Biblia, Mungu amekataza mambo machafu yahusianayo na ngono ikiwemo kuoana na ndugu wa karibu, ikiwemo pia kulala na wanyama. Uzi huu ni...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki...
0 Reactions
5 Replies
968 Views
Katibu bye bye. Katibu wangu alikuwa mtu wa Songea, Mmatengo, ni mchapakazi hodari sana na anajituma sana. Kilichofanya nimfute kazi kwanza kuanza kumpigia simu mke wa bosi wake saa mbili usiku...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
DUME ZIMA LIMEONGEZA UKUBWA WA KOJOLEO. Unakuta limtu eti limeenda kwa mganga au maduka ya wachina kununua dawa ya kuongeza ukubwa wa uume. Nani alikwambia wanawake wanataka kojoleo kubwa...
2 Reactions
39 Replies
32K Views
Kwenye mahusiano yenye afya, vitendo ndio uuza uzuri wa mpenzi na thamani aliyonayo mpenzi. Vitendo husisimua moyo, akili na viungo vya mwili. Akili uwaza, mwili upokea hisia na ulimi unena...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Wapendwa habari za jioni. Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu. Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Yes, nilimkuta akiwa na mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 6 hivi mumewe akiwa ametangulia mbele ya haki, kilichonivutia mwanamke alikuwa mrembo shape nzuri sura safi rangi natural mpanaji pia ana...
60 Reactions
276 Replies
15K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 katika familia yetu tumezaliwa watoto 5 na kwa bahati nzuri sisi wote ni wanaume na mimi ndiyo wa kwanza ndani ya familia yetu. Sisi tuna baba yetu ni mhuni...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom