Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo". Kiukweli...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mbeya, Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amewataka wanaume kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa katika ndoa ili kupata msaada wa kisheria na kisaikolojia...
1 Reactions
1 Replies
515 Views
Habarini za jioni. Leo nawatukana wanaume wote wanaowapiga wake zao kuwa ni wajinga na wapuuzi, kwa sababu zifuatazo; Unampigaje mwanamke tena mpaka kumuumiza kabisa, ilhali jioni unakula chakula...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna mwanamke ninafanya naye kazi, sasa mwanamke huyo tayari nimesha mchana mkweli wangu na kwa bahati mbaya alikataa. Nilijaribu kukaza kabisa akasema nimpe muda afikirie. Si unajua vijana sisi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia kwa ukaribu sana status zilizowekwa katika page za wasichana as per say! Nimekuta wengi wameandika kwenye kipengele cha relationship "Complicated". Wale ambao umri wao unaonekana...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu. Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka...
23 Reactions
77 Replies
5K Views
Hili tuliweke sawa kwanza kabla ya yote Naomba tusome apa Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako...
2 Reactions
14 Replies
814 Views
Nimeingia asubuhi hii Zanzibar baada ya kutoka South Africa, kwakweli nimekuja Zanzibar kuangalia fursa za biashara. Nimekuwa nikitamani sana kufanya biashara, na mara nyingi nimekuwa nikitamani...
1 Reactions
11 Replies
968 Views
Habari wandugu? Hapa juzi kati nimehudhuria harusi moja hivi na ilikuwa poa kabisa. Sasa nilichoshangaa ni pale wakati wa utambulisho! Bibi harusi wakati anamtambulisha kaka yake, dume zima si...
6 Reactions
12 Replies
743 Views
Nina kimeo changu kinaniendesha mpaka nakosa usingizi, nikitaka kumtimua anatishia kujiua. Sasa sijui anaweza akafanya kweli au mikwara tu, siyo mara moja ni zaidi ya 20, kila akinizingua nikitaka...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu kutokana na majukumu kuwa mengi na kukimbizana na mikate yetu ya kila siku hivyo sita ongea mengi kutokana na muda. Huu mpango wa 50/50 upo kwa ajiri ya mumnufaisha mwanaume ila wanaume...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nikiwa katika pikipiki ya ofisi mida ya saa nne asubuhi wakati napeleka package kwa wateja X huko...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada. Nimeamua...
1 Reactions
80 Replies
16K Views
Kuna jamaa yangu ananiambia mara kadhaa amekuwa akiota afanya nilichokiandika hapa juu na mama yake mzazi, na kwa mara ya kwanza usiku wa kuamkia leo kaota anafanya yaleyale na mama mkwe wake...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wana JF! Namshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima na afya njema! Sifa na Utukufu ni vyake yeye! Namshukuru Mungu kwa zawadi ya pekee mwanetu Junior hapo kwenye avatar! Mungu mlinde na umpe uhai hata...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Haikuwa makosa vitabu vya dini kumtambua mwanaume kama kichwa cha familia, hii ni kweli na ushahidi wa hilo upo. Nimekaa mahali hapa nakunywa maji kama rejeta nikisindikizia na chipsi mayai...
3 Reactions
14 Replies
884 Views
Ndugu yako wa damu baba mmoja mama mmoja anaweza kuwa mbaya na katili kwako. Hata yule ambaye mko baba/mama mmoja anakuwa katili dhidi yako na asikupende abadani. Wanaume wenzangu tuwekeze kwa...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari yako, Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu. Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari za muda huu wadau; bila kupoteza muda niende kwenye mada! katika pitapita zangu wikiendi iliyopita nikabahatika kuopoa dada poa bei yake haikuwa mbaya sana nililala naye usiku mzima...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom