Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Simple rule. Kwa wale wanawake wasiotaka kuwajibika kwa wanaume wao kimajukumu ya mke, kama mwanaume anakupa kila unalostahili kupata basi ujue kuna mke mwenzio. Kivyovyote vile, kuna hali ya...
0 Reactions
2 Replies
462 Views
Habar wana JF Natumaini wazima Twende kwenye lengo bila kupoteza muda Ukweli nikwamba mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili hilijambo linaukweli kabsa na sio uongo hapa ntaka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni hivi, wewe una chumba chako umepanga ungependa uishi na rafiki au mwenyewe. Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu. Kipi bora, maisha ya kuishi mwenyewe au na...
9 Reactions
213 Replies
25K Views
Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu. Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Nipo bar fulani hapa tabata sasa kuna barmaid mkali sana yaani huyu ni under 20 kama sijakosea tatizo linakuja kila raia hapa anatoa macho kwake cos ni cute balaa. Kwanza ziwa mchomoko, ana...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimekuwa na safari nyingi sana lile jiji analotokea Mkuu wa Nchi. Katika pita pita huko "mwenda bure si sawa na mkaa bure, huenda akaokota hata maradhi" nikafanikiwa kumpata dada mmoja anasoma...
19 Reactions
96 Replies
9K Views
Wakuu tangu niamue kuokoka nimepata changamoto kubwa sana, leo nimezini mara ya pili hata wiki haijaisha. Yani ni kama kasi imeongezeka, halafu niliye zini naye leo ni demu aliye nipiga chenga...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane... Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi...
4 Reactions
87 Replies
3K Views
It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati...
18 Reactions
249 Replies
26K Views
Najaribu kuangalia Maisha ya sasa nadhani katika ndoa ni muhimu mwanamke akachangia maendeleo ya familia kuliko kila kitu kumtegemea mume. Vipo vitu baadhi mwanamke anaweza kufanya badala Tu ya...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Oyaa nimewamiss watu wa humu wote tu hasa glen kaibiwa nini mzee wawatu . Depond amefufuka tumeona akijibu message wengine mambo zenyu???
3 Reactions
19 Replies
529 Views
Kwa kuanza, naomba kuchukua nafasi hii kuusifu uumbaji wa Mola. Si mnajua kabisa kuhusu wizara ya maji na umeme hapa nchini imekuwa ikifanya vyema sana kupita maelezo kiasi cha kuwa na tenki la...
46 Reactions
94 Replies
7K Views
Jibu la kweli ni NDIYO KUBWA, Kuna athari kubwa kama ni kweli unayeoana naye ni mtu wa kwanza au wa mwisho kuzaliwa ingawa kuna exceptions. Kama una mchumba ambaye kwao ni mtoto wa mwisho...
12 Reactions
80 Replies
17K Views
Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia, Aisee binti anazo sifa zote...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hi! Utafiti usio rasmi nilioufanya nimegundua kuwa mwanamke maskini hana upendo wa dhati kwa mpenzi au mume wake. Anachoweza ni kukuigizia tu kuwa anakupenda. Huyu mwanamke leo kanitafuta mara 16...
19 Reactions
87 Replies
7K Views
Heshima zenu popote mlipo na poleni na kupanda kwa gharama za maisha........ Moja kwa moja kenye mada Kuna uhusiano kati ya Kundi la damu na Tabia ya mtu katika mahusiano/mapenzi. Kwa mujibu wa...
3 Reactions
75 Replies
11K Views
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale. Ipo hivi, Nina mwezi sasa sijakutana na mwanamke, sasa kuna demu nimempata anakuja j3 ndio first time lakini najikuta nimejaa hofu sana kama huenda...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3, kwa chini kuna Restaurant, nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom