Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Na hili nalo mkalijadili kwa kina. Mchepuko wangu mpya, Fatuma, ninakutana naye barabarani kwa mara nyingine alfajiri. Hii ni mara yangu ya nne kukutana naye nikiwa ndani ya suruali nyeusi modo...
35 Reactions
66 Replies
5K Views
Wakuu hope mko fine. Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja...
19 Reactions
96 Replies
6K Views
Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila...
17 Reactions
80 Replies
5K Views
Habari wakuu, Iko hivi, katika kukua kwangu nilishuhudia wanawake kadhaa wakimgombania mwanaume mmoja, hata sasa wapo pia Kinachonishangaza zaidi unakuta mtaani kuna jamaa kiwembe balaa na mtaa...
8 Reactions
67 Replies
10K Views
Nina mpenzi tuna mwaka mmoja katika mahusiano lakini ni mwaka mchungu, najuta sijui kwanini niliingia mazima kwake. Kila siku yeye anapenda kufanya vitu na mambo yanayonikera akiamini wasiwasi...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Habari zenu wandugu. Niende moja kwa moja kwenye mada, jamani jambo hili linaniumiza sana kila nikifikiria nashindwa kuamini. Mimi ni ke, nimeishi na mwanaume takribani miaka saba, tumeishi kama...
41 Reactions
133 Replies
8K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wapendwa katika Bwana! Basi bhana, jioni ya jana ikawasili, ka jua fulani hivi ka rangi ya machungwa kakatanda. Muda huo nina buku teni tu mfukoni Si ndio kupanda...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa. Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa...
1 Reactions
80 Replies
3K Views
Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, mwaka huu mimi member mwenzenu mwizukulu mgikuru (babu) nilipanga huu mwaka usiishe niwe na mimi nimepata jiko. Katika pitapita zangu nikakuta na toto moja zuri la kiarabu na...
0 Reactions
3 Replies
585 Views
Mniwie radhi wana MMU kwa kosa ninalolifanya la kuleta nyuzi mbili kwa siku hii ya leo Hii ni emergency tu imetokea. Leo nimeona ni bora nikapumzika hapa nyumbani na familia. Mida ya saa nne...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na...
5 Reactions
97 Replies
6K Views
Dogo ana mchepuko wake umenizoea sana, mpaka imefikia hatua una wivu na mimi. Yaani usiponiona siku 2 unalalamika hatari. Nilimkuta na rafiki yake mmoja nikamwambia namtaka anifanyie mpango wa...
0 Reactions
6 Replies
991 Views
Asilimia kubwa ya wanawake waliopo kwenye ndoa wana Hofu.. Jana nilizungumza kuhusu changamoto zinazo mkabili mwanaume asiye na pesa,.. Leo nataka niongee kidogo kuhusu hofu inayoendelea...
4 Reactions
4 Replies
540 Views
Kila mara nasikia watu wanaachwa na wengine kupendana, ila mimi mwenzenu naona kwenye mapenzi sina bahati kabisa. Naona mwaka huu wa 2022 siyo wa kwangu kabisa, kila ninayemtongoza lazima azingue...
1 Reactions
16 Replies
915 Views
Mwanamke mwema ni taji kwa mumewe!!! Mke mwema huijenga nyumba yake, bali mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. . Nyumba inajengwa kwa vitu vidogo vidogo sana lakini pia ndoa...
0 Reactions
8 Replies
533 Views
Kutoka kwa muigizaji Jimmy Mafufu amefunguka na kusema haya "Hivi Nyie Wanawake Ambao Kila Mkihojiwa Na Waandishi Wa Habari Mnasema Mnataka Wanaume Wenye Hela Mara Ooh Mie Mwanaume Asiye Na Hela...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndiyo, Hili Tuliite wimbi la wanawake wengi kuchoka haraka. Maana hii imekua too much. (Msiniulize Nimetembea nao wangapi, Ila wee jua tu Ni wengi) TAHADHALI: Mnaojiona Ni Maparoko, mashehe...
23 Reactions
275 Replies
30K Views
Katika vitu ambavyo havinaga komando, tajiri au gaidi ni mapenzi, ndiyo maana kuna baadhi ya watu huko nje ni wakali sana lakini wakifika kwa wake zao au waume zao wanakuwa wa pole sana. Mapenzi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom