Nyumba ya kupanga raha hasa [emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
Leo Waha wamepigana wenyewe kwa wenyewe,inadaiwa mmoja kaiba elfu tano ndani.Sasa kuna wanaomtetea na wanaomuunga mkono...
Nauliza hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?
Kakuaacha na nyumba watoto wawili kaenda kutafuta, hufanyi kazi zaidi ya kulea watoto pesa anatuma ila unawapa utamu wapita njia...
Najua kusema ni uhuru wa kila mtu lakini wanaume wengine mmezidi kukejeli wanawake humu. Sijapata kuona kabisa hamjui kutuheshimu kabisa.
Sasa kama mtu ana matwaka yake, nyinyi yanakujereni nini...
I hope you all doing good today,
I noticed something in social platforms nowadays, most people (especially ladies), wanapoachana na mtu (Ex's) huwa wanasema wamepata watu bora zaidi ya yule...
Mjadala mkubwa kuhusu muda wa upigaji bao la kwanza kwenye 6X6 bado unaendelea miongoni mwa wanaume wengi.
Ikija kwenye suala zima la mzunguko wa kwanza, mara nyingi kila mtu hutoa maoni yake...
1. Shower Sex
2. Kitchen Sex
3. Beach Sex
4. Parking lot Sex
5. Pagala Sex (kwenye jumba ambalo halijaisha)
6. Uchochoroni Sex
7. Makaburini Sex
8. Kabatini Sex
9. Mezani Sex
10. Kibarazani Sex...
Out thereeeee wakuuuu.
"Criminal we hujui tu mi na-hustle kiasi gani ili maisha yangu yaweze kwenda" ananiambia mmoja wa friends of mine.
"Ni hustle gani hizo unaziziongelea" namuuliza...
Natanguliza samahani mno ikiwa kuna watu nitawakwaza. Huyu ni msichana mzuri na nadhifu na tuna mazoea kidogo, nilichukua namba nikamwambia namuhitaji, hakuwa na hiyana. Muda wote huu nilijua...
INTERNAL MEMO
To: Married Women of Tanzania
From: Concerned husbands
Subject: WOLRD CUP
Dearest wives,
We wish to bring to your attention that the 2022 World Cup Edition will be kicking off...
U hali gani?
Napenda kufahamu kwamba umewahi kujiuliza kwanini unataka mtoto wa kumzaa? Kuachana na sababu tunayoitumia wengi ya kutaka kutimiza kusudi la Mungu.
Na je, umewahi kutamani usiwe na...
Karibu asilimia 90 ya wanawake ambao nimekutana nao na wengine kuwaona mtandaoni wanapotoa sifa za wanaume ambao wangependa waolewe nao sifa inayopewa msisitizo ni ile ya mwanaume mwenye hofu ya...
Marehemu Mwivano Mwambashi Kupaza
Polisi reconstruction ya uso wa marehemu Mwivano
Peter Kupaza
Shari Goss
Eneo la tukio....
Ilikuwa ni Julai 30 1999, mwanamke mmoja aliyetajwa kwa...
SIFA ZA MWANAMKE WA KIUNGU.
Wanawake wengi wanatamani ndoa takatifu bila kujiuliza itawezekanaje kuwa mwanamke wa kiungu bila kumcha Mungu.
Karibu tujifunze tabia na sifa za MWANAMKE mcha MUNGU...
Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia...
Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini:
Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe...
Kuna wakati katika haya maisha unaweza kukutana na changamoto ikakutesa kwa kipindi kirefu, ila siku moja ukakutana na mtu akakutoa kwenye changamoto hiyo kwa kipindi kifupi sana. Tiririka hapa...
Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu.
Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba...
Kuna mwanamke mmoja hivi X wangu ambaye nilikuwa napambana sana arudi, na kwa bahati nzuri nilifanikiwa kumrudisha. Kumbe alikuwa anarudi kwa faida zake mwenyewe!
Yaani tulikuwa bado tuna wiki...
Wakuu habari za muda. Kuna hii kitu imenichanganya sana ni hivi,
Kuna single mother mmoja tunaishi sehemu moja alikuwa ananiletea shobo kibao nikaona sasa hii kero. Kanifata fata sana mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.