Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za jioni wana jamvi la JF, itoshe kusema ya kwamba tendo la ndoa ndiyo msingi ama nguzo ya wanandoa. Ikitokea mmoja katika tendo la ndoa hafanyi vema ni rahisi lolote kumtokea kama ndugu...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikuwa poa tu kwa upande wao. Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau...
27 Reactions
126 Replies
6K Views
Habari za masiku wakuu, natumai mko poa sana, nmewakumbuka sana. Namshukuru Bungu nmetoka kwenye ban mzima wa afya, ni mambo mengi sana yametokea hapo katikati nilipokua sipo hewani. Moja wapo ni...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wakuu Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice. Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya...
37 Reactions
795 Replies
24K Views
Natumai humu ni wazima wa afya, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Vijana wenzangu unapo kuwa unafukuzia mwanamke punguza shobo na kujipendekeza kupita kiasi maana utajikuta...
15 Reactions
85 Replies
9K Views
Kwenye hizi nyakati za sikuu kuu watu huwa wanachakatiwa mbususu mno,walahi ukiomba mbususu ya mke wa mtu wakati huu na ukinyimwa nenda ukaoge baharini, kwenye kipindi Kama hiki mwanamume Kama...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Unaweza kudhani nazungumzia kile unachokiwaza mawazoni mwako... Picha iliyojengeka ya kitu kilichopinduka...! Most likely gari.. Likiwa kichwa chini mijuu guu.! [emoji144] Ama dhana ya kucheua...
12 Reactions
35 Replies
4K Views
Nahisi kuchanganyikiwa, siyo wazee kivile hawa wazazi ni wa makamo tu. Hivi hapa bi mkubwa(mama) amenipigia anasema usiku wa jana mzee kampiga makofi, Nimemshauri wakae wayamalize ila kakataa...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Miaka inavyozidi kwenda mbele uhuru wa binadamu unaongezeka sana kutokana na sera za demokrasia na kudidimia kwa maadili ya kidini, hivyo kuwapa watu nafasi kubwa ya kuingia kwenye mahusiano...
27 Reactions
214 Replies
23K Views
Mabibi na mabwana hatimaye deal done nadhani sasa hatokuja nisahau nimefanya yote nnayoyafanya kwa mwanamke nikiwa kwenye minyanduo. Kiukweli kaapa kwa majina ya mizimu yao hajawahi kukutana na...
10 Reactions
297 Replies
13K Views
Igweeeeee Kipindi cha nyuma iliaminika wanawake wakifikisha miaka 30 bila kuwa na ndoa, au mtoto basi ndio shughuli yake inakuwa imeishia hapo Katika kizazi hiki hali imekuwa tofauti, mwanaume...
28 Reactions
95 Replies
8K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza dawa ya mwanamke ambae ukiondoa attention yako kwake analalamika kwenye status na kutia huruma sana kana kwamba anaonewa. Ila mkianza kuwasiliana mfululizo anaanza...
1 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari wandugu wa MMU leo nimehudhuria send off ya class mate wangu, nipo nimekaa meza moja na mzee mmoja wa kichaga kaja na wanaye wameshuka kwenye Prado Diamond, kaja na mabinti wawili pamoja na...
15 Reactions
67 Replies
4K Views
Siku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji. Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje. Hii...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Hili ni jambo mabinti hawalifahamu kwenye mahusiano. Ni mara nyingi kumekuwa hali ya mahaba au mapenzi ya mwanaume kushuka baada ya kuingia katika nahusiano na mwanamke ambaye alimhangaikia sana...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Hakuna aliye mkamilifu, kila mtu anajifunza kila siku. Unaweza kujiona unajua mambo lakini kumbe kuna mwenzako anajua zaidi. Uungwana ni kujenga desturi ya kujifunza. Suala la msingi ni kuiruhusu...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari za humu ndani wakubwa na wadogo . Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu Katika maisha ya kunyanduana zamani wanawake ndio walikuwa wanahimiza sana matumizi ya kondom huku wanaume tukiwaletea ujanja na kuzitoboa lengo ile nyama kwa nyama litimie Nowadays...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanasayansi wanasema kwamba wanandoa wanapoishi pamoja kwa miaka mingi wanaanza kufanana. Ona huo uthibitisho hapo chini kwa Mr & Mrs Kanda bongoman !!
1 Reactions
6 Replies
462 Views
http://yt2converter.com/yt-dd.php?id=vM26E9qHE2I&hash=f7bac3ae706f8dd921ed44d2f3253aa7&t=692&name=All-4-One%20-%20These%20Arms Mimi kuna siku nakuwa boyfriend, siku nyingine mchumba, siku...
93 Reactions
220 Replies
24K Views
Back
Top Bottom