Nani anaikumbuka ladha ya mpenzi wake ambaye walishaachana mwaka mmoja uliopita? Tuache mwaka, ikiwa ulikuwa na mtu kisha ukakutana naye kimapenzi wiki iliyopita na baada ya hapo hamjakutana tena...
Mie ni kijana nilimaliza chuo ajira hamna. Basi nikaamua kujiajiri now nafanya biashara Mungu anasaidia.
Kutokana na shughuri zangu za Biashara nina mazoea na watu wengi, dada kwa Kaka, wamama...
Leo nimeamua Kuja Kwenye Jukwaa langu Pendwa Baada Ya Kupotea Kwa Muda Mrefu. Sote Tunajua Kuwa mapenzi na Siasa Ndio vinavyo ‘Run’ dunia Kwa Sasa. Mimi Sio Mwanasiasa “So” Siwezi Kuongelea...
Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote.
Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha...
Wandugu habari za mwaka mpya,
Kama mtakumbuka miezi takriban minne iliyopita nilishusha uzi hapa nikielezea kuhusu kuamua tu kuishi na mdada mmoja kwa sababu alionyesha mapenzi kwangu ila mimi...
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano...
Mwanamke akipenda huwa kapenda kweli hili neno siyo uongo kabisa!
Wengi wanaolia wake zao au wapenzi wao ni viruka njia kiukweli hawajapendwa, kuna kitu walichonacho ni sumaku kiufupi kimemvuta...
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana, lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka...
Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,.
Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na...
Hi,
Vipi wakuu Ni mawasiliano gani unayapenda;. Yale ya kuwasiliana na mpenzi wako Mara kwa mara yaani asubui, mchana,jioni na usiku, au Ile ya asubui na usiku basi.
Au Yale ya kuwasiliana Leo...
Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama...
Anaandika, Robert Heriel
Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za...
Mwandani wangu ni wale ambao hawezi pita ukamuangalia mara moja, lazima ugeuke tena. Not only outside, hata kitabia na akili ni exceptional.
Kutoka na hilo amekua akipata usumbufu sana kitu...
Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani...
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka...
MWANAUME MPUMBAVU NDIO HUMPIGIA MKEWE MAGOTI;. JIONYESHE KUWA MWANAMUME
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi
Mwanamke pekee ambaye mwanaume anaweza kumpigia magoti ni Mama yake.
Na hapa...
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia...
Enzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua...
Katika blogu hii nimetoa takriaban mada sita (06) zinazohusu vyakula na aina mbalimbali ya mazoezi ambayo mwanaume akizingatia hakika hatokuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mada hizo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.