*AINA ZA VYAKULA
Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali...
Wakuu,
Mwanzoni mwa mwezi huu January. Nikiwa kwake tukiwa ktk kufanya ya kufanya, ndani ya breki fupi kwa ajili ya kujiandaa kwa round ya pili.
Akanishika shika kidevu akiniomba nimtimizie...
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana...
Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro.
Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye...
~ Usimtumie mwanamume yeyote picha zako za uchi - hata kama ni mume wako. Na kamwe usijirekodi wakati wa kufanya mapenzi.
Fahamu huu ukweli ya kwamba mitandao siyo ya kuamini sana. Hebu jiulize...
Rafiki yangu tuliyesoma wote yeye yupo kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Arusha ingawa bado hawaja tambulishana kwa ndugu na wazazi mpaka sasa.
Rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauri sijui...
Za jioni
Kuna kipindi nilikuwa napo pale muhimbili nafanya kazi ndipo nilipo kutana na huyu mdada ni mrefu black cute nimeongea swaga zote zimeisha.
Picha ina anza dem ukituma sms anajibu kesho...
Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada
Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama...
NDOA YA MKE MMOJA AU WENGI? VIPI KUHUSU TALAKA? SOMA HAPA UJUE MSIMAMO ULIOPO KWA MUJIBU WA BIBLIA.
"Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote". Hiyo ni...
Niliandika uzi kule kweny jukwaa la love connect kwamba natafuta mwanaume wa kuanza naye maisha yaan kujenga familia hii ni kwasababu waliyoko kitaa ndo walewale wa mtandao.
Kiufupi walikuja wate...
No greetings.
Kwanza nianze na hukumu za ubakaji zinazotolewa kwa hapa TZ. Binti ana miaka 18 yupo kidato cha nne, ana mahusiano ya dereva boda boda na wanataraji kuoana.
Ghafla ndugu wa binti...
Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto.
Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku...
Nimekataa, nimekataa kata kata. Sababu zilizonifanya kukataa ni hizi hapa:
a) Mumewe ni mpambanaji, ni mtu anayefanya kazi zinazohitaji nguvu na akili nyingi. Kila siku jioni hurudi akiwa...
Habari za mchana natumaini wote mmepata runch pale food point au Kilimanjaro hotel (utani tu kama kawaida yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado karibu ugali na mrenda na mtindi huku...
Wanajamvi hamjambo?
Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa
Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani. Anapenda...
Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi
Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha
You cant be happy...
Hapa ni mekaaa nikakumbuka baadhi ya mambo mimi nimedate na walionizidi umri na niliowazidi
Ila baada ya pilikapilika za hapa na pale nimegundua kuwa wanawake akili zao ni kama Game haliwezi...
Natumai mmeamka salama wadau nataka niwape ujumbe hawa mabinti haswa dada zetu na wengineo wenye jinsia hiyo. Maana imekuwa kiherehere kimewazidi sana kiasi cha kufikia kudandia masuala ya...
Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.