Habari Wana MMU na kheri ya mwaka mpya binafsi nimekuja kutoa pongezi kwa mabinti wote wa kikwele kwani mmoja wenu kanipatia Mimi kijana wa Mara aisee sijawahi pata kwingine itoshe kusema nyie ni...
1. Kuna siku nlikuwa naitwa na mwaamke niende kwake nikamle, na wakati huo huo kuna jamaa yangu anajisikia vibaya kanipigia simu yupo home. Nlikataa kwenda kwa mwanamke nikaenda kwa jamaa...
Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa...
Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa. Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake.
Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku...
~ Watu kama Julius Caesar, Theodore Roosevelt, James Bond, Thomas Shelby bila kumsahau Vladimir Putin
~Watu hawa wanaitwa Alpha Males
~ Wanaume wengi wanahitaji kua kama hao, na wanawake wengi...
Itifaki izingatiwe - Mimi ni mkristo
Kuna dem nimempangia sehem hivi karibuni sasa kwa bahati mbaya tumekuja kugundua kuwa nilipompangia ni pemben ya kanisa (haya ya kilokole ambayo ibada ni kila...
Leo katika tafakari yangu na tathmini; nimegundua nina watoto nane, na wanaotambulika na mama zao kuwapa jina langu ni sita, wakike 3, na wa kiume 3; wa nje ya ndoa 3 mama tofauti.
Changamoto...
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna mwanamke humu kapost anataka mume, mimi nikampandia hewani...
Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake...
Hello ndugu zangu!
Binafsi ninaleta leo kisa kimoja ambacho sikuwahi kukileta humu. Wakati nasoma advanced level nilikuwa Beta guy aka a nice guy.
Nakumbuka nilikuwa na hela ila sikuambulia...
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu...
Wadau ni hivi kabla hauja anza kuchepuka anza kwanza na kumpenda mkeo na familia yako na kumjari hata ya kinafki.
Kwa nini unatakiwa ufanye hivyo ni kwamba wewe unapo enda huko nje Unaenda...
Wanawali 60. Wakali kwa types nitakazo mimi. Tena wote nawakuta bikra...so naanza nao mwenyewe.
Ndo maana nikiwaangalia wanawake siku hizi wanasema nmekuwa na kiburi na dharau. Ni kweli sikatai...
Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli?
Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa?
Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa.
Poleni sana dada zangu...
Njia za Ufungaji wa Tai (Tie)
Tie a bow tie.
Step 1: Make a simple knot, allowing slightly more length (one to two inches) on the end of A.
Step 2: Lay A out of the way, fold B into the...
Manipulators katika mahusiano;
Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta...
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi...
Hawa sio watu wa kuwapa attention.
Hawa sio watu wa kuwapa sehemu ya mioyo yenu,
Hawa sio watu wa kuwaruhusu wa-share experience, importance na gift ya maisha yako,
Hawa sio watu wa kuhudumia...
Waganga ni watu walioridhishwa kutibu watu na shida zao mbali mbali .
Ikiwemo kutoa majini,
Kutoa vifungoo
Kutoa uchawi uliowekwa mwilini au katika nyumba za watu .
Kurudisha nyota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.