Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa.
Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35...
Kanisa la huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya Pili limefunguliwa na kuendelea kutoa huduma baada ya kufungwa kwa miezi mwili.
Dar es Salaam. Nabii wa...
Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli
Nikuambie kitu jana...
Maisha yana vingi vya kujifunza.,,furaha na huzuni zote ni sehemu ya maisha.
Ilikuaje Yule ulimpenda aliondoka katika Maisha yako ilhali ukiwa haujajipanga au kujiandaa .
Nilimpenda sana Yule...
Vijana wengi wa kiume akiona mtoto mzuli wa kike anamuelezea changamoto za mahusiano anavyoteseka anayopitia huchukulia ile kama ni Fursa kwake kwa kutaka kumuoneshea kuwa anamjali na kujifanya...
Asalaam alaikum?
Nitoe hadhari ya kipekee kwa wanaume, kumekuwa na hamasa za vibwagizo vya kupiga deki uke wakati wa game za minyanduano, hata kutoka kwa baadhi ya watu wenye heshima kama...
Mwite mtu aje akupe faraja Kwa maneno mazuri mie ni Carrasco putin dear naomba uje unifariji
PENZI
Penzi njia ya adhabu, sina budi kuipita,
Tena ina nyingi tabu, ila siwezi iwata,
Leo naomba...
Mimi nawaza humu sijui nani anawaambia eti wanawake wa JF ni wana sura ya kutisha?
Niambieni. Wanaume wa humu mliojificha kwenye avatar mie tokea niwafahamu watu wa humu wanaume wa JF wanasura...
Nina mpenzi wangu tunaishi yapata miaka 2, sasa nilikua nimetoka kikazi kurudi tukafanya tendo la ndoa kama kawaida. Haijapita wiki nikawa naumwa, nilipoenda kupima ikagundulika ni...
Peace,
Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa...
Unatoa namba unatongozwa halafu unakataa
Kwani wewe unazani uliombwa namba ya Nini?
Ooh Mimi nilikupa ili tuwe marafiki ...hakuna urafiki baina ya mwanamke na mwanaume labda urafiki wa facebook
Kuna uzi uliwahi kuletwa humu jukwaani ukiwa na jina la 'No fap challenge'. Kwa haraka haraka ulikuwa unaonekana kwamba ni uzi wa kipumbavu na wakujifurahisha.
Ambao hawakubahatika kusoma uzi...
Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we...
Habari za muda huu.
Naomba kujua hawa wanawake wanaojibu wanaume ""OK" au ""SAWA" na hata uwaongeleshe na kuwapigisha story hawacheck wala kuchangia zaidi ya "ok" au "sawa" . Au unapo mtongoza...
Mwaka 2014 baba yangu na mama yangu waliachana tena kwa talaka baba akaenda kuoa mwanamke mwingine uko
Mama tukabaki naye nyumbani akabaki analea watoto wake kwenye familia yetu tuko watoto 8 wa...
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni...
Wakuu,
Nisiwachoshe Msinichose, niende Moja Kwa Moja kwenye Point.
Ule Ufala wa Kila unachowaza kufanya unafikiria watu wa Nyumbani kwako Kwanza achana nao Mara moja.
Infact, Nyumbani kwako no...
Hello.
Mtoto wa kike badilika.
Kitendo cha kulazimisha mimba na kutarajia ndoa ,imeleta shida sana na kupelekea ongezeko kubwa la single mama.
Kutarajia kupata mimba kwa kigezo cha ndoa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.