Natarajia Mungu akinijalia na mambo yakienda Sawa nategemea kuoa mwananke wa kisukuma kutokea kisesa Mwz . Nipo najichanga ili nipeleke mahali by mwezi wa nne hapo. Kwa appearance mtoto ni very...
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆
Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani?
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu...
Ashakum si matusi [emoji24] visa vyangu
1.)Wanangu leo nilikuwa natoka chuo
Jioni ya saa 11 nikapishana na demu pisi kweli nikamfuata kumwomba namba alichonijibu " sipendi viadunge we mdogo kama...
Nikiri tu kwamba huu mchezo wa punyeto sio mzuri.
Ndugu yangu analalamika kukosa usingizi siku ya Tatu leo hata akifanya kazi ngumu siku nzima Bado hapati usingizi. Anadai tatizo limeanza...
Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda...
Mwambie :-
1. Umepata kansa au kisukari au ukimwi.....ukiona anaanza kukukwepa vunja uchumba haraka sana.
2. Mwambie umepoteza kazi au biashara yako imekufa. Hata Kama anaijua biashara yako...
Habari zenu
Leo nina kisa ambacho huwa kinanisumbua mpaka huwa natamani ningepata nafasi ya kumueleza mke wangu mtarajiwa wa mambo niliyowahi kupitia hapo awali.
Unajua bwana niliwahi kupata...
Rafiki yangu ana changamoto kidogo ya kazi. Ni muda. Nami nimekuwa kwenye changamoto hiyo kwa muda ila nikajiajiri na maisha yanaendelea.
Kwa wale ambao tunajiajiri kuandika andika projects au...
Mambo vipi Watanzania bara wenzangu?
Hebu tupeane mbinu, maana hapa Town sasa hivi wanawake unakuta keshazalishwa watoto 10 huko anakudanganya hana mtoto ili umuoe tu.
Utamjuaje mwanamke ambaye...
Sijui ni Mungu ndo alivyowaumba yaani akiwa mrembo nywele nzuri,shape nzuri, figure matata lazima tu agongwe na wanaume zaidi ya watano tofauti tofauti kwa vipindi tofauti tofauti,ila akiwa na...
Kuna ile kwamba mwanamke akiolewa anajiona yeye ndo anapendwa zaidi kwakuwa kaolewa. Je, kuna ukweli katika hili?
Hii mada haichagui jinsi, yoyote anaweza kuchangia.
Anafunguka mama Ashura kwa kusema......
"Kwa miaka 10 sasa, mume wangu amekuwa akinidanganya.
Ananipiga wakati wowote nikimuuliza kuhusu mchepuko wake, maana huwa analala kwa mchepuko kila...
Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua...
I am going to let you and everyone else reading into a secret that only those who have been married for 50+ years know.
Sit down as it is a blinder.
Love is a choice. Fidelity is a choice...
LADIES & GENTLEMEN PLEASE DATE TO MARRY NOT JUST FOR FUN.
● Dating with no intention to marry is like going to the shops without money; you either leave unhappy or take something that isn't...
Habarini ndugu jamaa na marafiki wa JF. Nasikitika sana kuandika thread hii japo Sina budi kuandika maana ukweli inabidi usemwe hata kama ni mchungu kiasi gani na Wadini wamesema pia mkiijua kweli...
Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi.
Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto.
Maana...
Kama hukupata chanzo cha uzi huu fatilia
Msaada wa haraka: Mkewangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utalatibu wa talaka tugawane mali
Wakuu kwanza mimi sio mwana kiswahili mzuri kwaio...
Kwa ujumla…
Wanaume huwa na tabia ya kuzungumza kwa kulenga katika pointi moja kwa moja.
Wanawake huwa na tabia ya kuzungumza kwa maelezo marefu. Wanaume wengi wanalenga pointi papo kwa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.