Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu
Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure
Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo
Mnabidi...
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!
Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.
Sijui nina kasoro gani maana kila...
Habari wakuu,
Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao.
Yeye alinitangulia kiumri na...
Nimejaribu kutafakari hili jambo ila nimeona nikilileta humu naweza kupata michango ya ziada yenye afya,
Kwa maoni yangu nimeona ipo hivi, ningependa nisahishwe nilipokosea, kuongezewa...
Mapenzi ni yale ya kweli tuwe wa kweli umewahi kuwa mwaminifu kwenye penzi ulilopo au ndoa yako?
Umewahi kukataa vishawishi Kisa unampenzi wako au mke?
Sema tu ukweli.
Jumatatu njema. Kama ilivyo ada na leo nawapa hints za kuuchapa Ulegeaji wa misuli unaosababishwa na nyeto.
Ukipiga nyeto baada ya dk 20 au ukiweza chini ya hapo, kunywa maji kuanzia lita 1.5...
Jumanne njema, ni usiku mzito wa kuamkia Jumatano!
Huruma ni nzuri na ni jambo la hekma kuhurumia. Imagine mtu anatoka na mkeo na unamuonya anakutusi na kukuvimbia kwa sababu ya pesa.
Yaani...
Tulipokubali kuoana, mimi na Naomi wangu tuliandika malengo yetu ya uhusiano.
Tulikubaliana kukua pamoja kitaaluma na kusaidia malengo ya kazi ya kila mmoja.
Tulikubaliana kusaidiana katika...
Hamjambo wanangu?
Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini?
Anyways...
Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua...
Ipo tafiti inasema mwanaume hutumia wastani wa masaa 7 kila mwaka kujificha chooni ili apate "Amani, Utulivu na Ukimya"
Tunapitia mengi sana badala ya kuendeleza hii kampeni mliyoificha kwenye...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Nimeshapatikana mieee na tarehe 14 ndo hiyoooo... sawa ndo nimefall lakini baada ya kuorder zawadi ya Mr...design kama vile ni gharama.... no regrets, nina tafakari...
Zamani nilikuwa nina matatizo ya kupata hawa wenzetu (wanawake) baadhi ya wanawake walikuwa wananitupilia nje saana kila nikijaribu kurusha vitu vyangu.
Nilibadirisha gia sasa hivi ninakwenda na...
Ni siku nyingine nisikuchoshe tusichoshane.Nilikuwa namsindikiza mdogo wangu wa kike hospitali baada ya kurudishwa kutoka Shule kutokana na sababu za kiafya.
Siku ya Jana baada ya kutoka...
Habari wadau..
Katika story na maneno ya wanaume wengi why hawaoi wasichana zao.. wengi wanajibu bado namchunguza maana haaminiki...
Unakuta mtu yupo na binti hata 5 year mahusiano na...
Ushawahi kusoma kisa changu cha mrembo Joyce? Sasa leo yananikuta sababu ya huruma yangu.
Joyce bana niliendeleza uhusiano nae, amenieleza shida zake nyingi na kujutia aliyowahi kuyafanya na...
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe...
Wanawake wanaotokea kwenye familia za kishua wanakuwaga na mapenzi ya dhati Sana ukiwacompare na wenzao wanaotoka kwenye familia ambazo hazipo vizuri kiuchumi.
Yaani mwanamke wa ushuani akiamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.