Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Aisee kiburi, jeuri, heshima fupi ilinifanya nione ndoa ni utapeli daaah
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mnaokwenda kuoa au kuoelewa kitu cha kwanza angalia mzazi ambaye ni mama kama ndio mwenye sauti. Ukiona hivyo kimbia usije juta mnaona mifano tosha kwa domo aka simba au kwa mabinti wengine.
21 Reactions
74 Replies
3K Views
Upweke hauponywi na wengine. Unaweza kuolewa na ukabaki na upweke. Unaweza kuwa katikati ya watu na ukazidi kuwa mpweke. Kwa kawaida mtu hujitenga na wengine anapojitenga yeye mwenyewe. Kuna...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Naombeni ushauri, mimi ni mume wa mtu pia ni mtumishi na mwenye maisha ya kawaida sana yaani dola mbili kwa siku ndio maisha yangu na ninashukuru ninaridhika ninachopata. Niinapofanya kazi kuna...
3 Reactions
4 Replies
887 Views
Huyu mwanamke anatia aibu sana. Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana. Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana. Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije...
3 Reactions
11 Replies
931 Views
Anaandika kenge Salaam wakuu!! Maisha ni marafiki na marafiki ndo maisha yenyewe sindio.Sasa kuna baadhi ya marafiki wanavijitabia vinavyokera na vingine vinafurahisha na kutengeneza bond zaidi...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Ingekuwa kwamba ukifunga ndoa unakaa miaka 2 ndiyo unaenda kuchukuwa cheti cha ndoa je, kuna mtu angeenda kuchukuwa cheti? Kama la au ndiyo unadhani sababu ni nini?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ni sauti kwa niaba ya wanaume wa mikoani, ukiachana na Dodoma na Arusha ambao nao ndio walewale tu..[emoji3] Tumesikitika sana, na tutaliweka kwenye ajenda kuu, ya bunge la bajeti.. Sasa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasalaam JF, Kama mada inavyojieleza wale wana na mabaharia wa Chama letu la kataa ndoa tujuane kwa umoja wetu.
5 Reactions
29 Replies
994 Views
Huo ni mfano tu hai kuwa wanawake wanawahi kuingia kwenye mahusiano tofauti na sisi wanaume. Kijana wa miaka 18 na msichana wa miaka 18 wana experience tofauti kwenye mahusiano. Kwa mwanamke...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
Huyu demu ni muda sana nlikuwa namfukuzia. Siku zote ananitizama anacheka ananiambia "we mtu unajua mi nakuonea huruma huu mzigo huuwezi😁" Huwa namjibu asione wembamba wa reli huu nabeba mamizigo...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Siriel Mchembe amelazimika kupiga marufuku Wanandoa wa Wilaya hiyo kuacha kusoma msg kwenye simu za wenzao ili kuepusha migogoro na vifo vitokanavyo na wivu wa kimapenzi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
NI LINI UTANIPEA ? Imenijaa ashiki, sikia mpenzi wangu Naomba hili afiki, usinifanyie pungu Sinipe ahadi feki , umeshaiva mkungu Sema nisikie Switi, siku gani utanipa Nimeiweka nadhiri, viugho...
3 Reactions
14 Replies
669 Views
Mimi ni Mtanzania, mzaliwa wa Kanda ya Ziwa umri wangu ni miaka sasa. Namshukuru Mungu nimebahatika kupata elimu japo kwa taabu sana na sasa nafanya kazi hospitali moja ya umma hapa Dar na huu ni...
5 Reactions
48 Replies
10K Views
Kwanini Nina imani Na mademu ma barmaid 1.ni wasafi wanaoga Na kupendeza kutokana Na nature ya kazi zao lazima wawe smart wanukie vizuri wajinyoe hawataki fedheha maana baadhi ya Wateja huwa wana...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa. Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri...
38 Reactions
715 Replies
27K Views
MHAINI We olewa na yoyote, hunikomoi Tena uende popote, hunikomoi Kisha ufanye vyovyote, hunikomoi Hata utoke na kaka, hilo sijali Yaani uwe kibaka, hilo sijali Tembea unapotaka, hilo sijali Ni...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Siku ya baridi ya Desemba mwaka wa 2000, Tyrel Wolfe mwenye umri wa miaka saba alipakia zawadi ya Krismasi kuelekea Ufilipino, iliyojaa vitu vya kupendeza vya likizo na hata picha yake akiwa...
2 Reactions
1 Replies
508 Views
Kuna rafiki yangu tulibahatika kusafiri naye na kudondokea ujerumani huko Bavaria sehemu ya Amberg. Kukweli hii ngozi nyeupe ni kwa wanawake ni watu wenye aibu sana na wachangamkaji kama mgeni...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom