1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume, hivyo anakuwa hana sifa za:
a. Ushoga
b. Vijembe
c. Umbea
d. Kususa
e. Kusuta
f. Kupoteza muda kwa visivyomhusu
g. Umario
h. Kusimanga mwanamke ingali...
Wadau,
Mpenzi wako akisema yupo njiani anakuja kwako huwa unafanya nini?
Anaweza akawa boyfriend/girlfriend, mchumba au ingizo jipya [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajukwaa,
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa...
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani...
Habari zenu, jiwe liwafikie wanawake mnao jiuza, either kujianika live,mtandaoni, au kivyovyote, hii tabia chafu, mnayo ifanya tusitake kuwashangilia na kuona kama ni kitu cha kawaida, msionywe...
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa...
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo...
Wakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.
Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu...
Wakati naingia kucheki game ya uto fc na azam nikaangaza macho huku bin kule nijue pa kupoa.
Saa hiyo nshaeka oda jikoni na kuelekeza wapi muhudumu atanikuta(upande ulee).
Basi kuna kisu imekaa...
Habari Jf
Naomba ushauri kwa wajuzi wa mambo haya, ndoa yangu inamuda wa miaka minne na tumebahatika kupata mtoto mmoja.
Mimi na mke wangu wote ni wafanyakazi serikalin na kwa sasa tunajenga...
Wasalaam JF,
Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi.
Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri...
Muasisi wa ndoa kwa binadamu ni Mungu.
Alipowaunganisha Adam na Hawa katiba bustani ya edeni.
Familia ni msingi wa Taifa lolote kwani kukiwa na familia imara ni rahisi kuwa na jamii imara,dini...
Hello mambo JF Crew!!
Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na...
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga...
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana...
100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa
Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua
Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa...
Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu.
Tuchukue...
Nilipoanza mahusiano naye tu, nilianza kuwa msumbufu kupita maelezo. Kuanzia day three nilianza kulilia mbususu kama vile ni yangu vile namdai. Ilifikia kipindi akaona dhamira yangu labda ni...
Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu.
Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka...
Salaam wakuu
Hii ni stori yangu ya kweli kuhusu jambo linalonitesa na kuniumiza kwa muda wa mrefu sasa. Nitaweka kila kitu wazi katika angle zote ili niweze kupata msaada. Tafadhali sana, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.