Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu habari za wikiendi, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, mzee wangu kwa sasa naishi naye nyumbani kwangu kutokana na umri wake na hana mtu wa kukaa naye. Hii tabia ya kuwatongoza wadada wa...
25 Reactions
224 Replies
13K Views
Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa. Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na...
17 Reactions
46 Replies
2K Views
Tena kwa mbwembwe nyingi nilikuwa nausokomezea ukuni bila huruma. Aliponiambia "mbona ukojoi?" nikamwambia nitampatia 15k badala ya 5k. Nimepiga bao moja na nusu! Tena hapo ni baada ya kusukumwa...
46 Reactions
240 Replies
30K Views
PROFILE LA MWANAMKE ANAYEHANGAIKIA NDOA! Anaandika, Robert Heriel Ndoa ni Taasisi inayowaunganisha Mwanaume na Mwanamke kuunda Familia moja(serikali moja), kuwa mwili mmoja. Kisayansi Mwili wa...
54 Reactions
243 Replies
10K Views
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under. 2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially. 3.Wachoyo...
55 Reactions
660 Replies
18K Views
Salaam! Habari wana jf poleni na majukumu, mimi ni kijana ambae nimepanga kuoa mapema mwakani ila leo mchumba wangu kanitumia ujumbe unaonivuruga akili, Kiukweli mimi na mchumba wangu...
12 Reactions
273 Replies
27K Views
Kila mtu na mnyonge wake! Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana. wakipanga mtaani vurugu nyingi...
9 Reactions
62 Replies
4K Views
Napata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa Kila siku lazima nikutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea...
9 Reactions
91 Replies
3K Views
Wadau, habari zenu. Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakuu nimejisoma nimegundua hii hali ya kuchaguchagua sana mwishowe unaweza usije mtu kuoa kabisa.,nimekuwa nikipitia mahusiano kadha wakadha ila bado sirizishwi na mienendo ya wenza wangu,sasa...
6 Reactions
19 Replies
704 Views
Hii ni nukuu ya mwanamke wa jf "Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata...
11 Reactions
77 Replies
3K Views
Salaam jamiiforums Kila mmoja amechagua maisha fulani ya kuishi ili mradi havunji sheria, lakini juu ya yote, unaweza kuwa unashusha uanaume wako bila kujijua. Leo tukumbushane taratibu kadhaa...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndiyo nguvu za kiume nowdays ni shida nyingine kwa sisi wanaume. Kwa Bao la kwanza mwanamke unaye sex naye during sex epuka kumtazama sana sex parts yenye mvuto kama hips au kalio lake pia kama...
13 Reactions
77 Replies
4K Views
Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa...
10 Reactions
17 Replies
3K Views
𝙅𝙪𝙨𝙩 𝙚𝙖𝙩 𝙖𝙣𝙙 𝙧𝙪𝙣 𝙣𝙞 𝙢𝙨𝙚𝙢𝙤 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙤 𝙪𝙣𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙫𝙞𝙟𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙢𝙩𝙖𝙖 𝙬𝙚𝙩𝙪 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙥𝙤 𝙪𝙢𝙚𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙢𝙖𝙙𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙢𝙖𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖, 𝙟𝙖𝙥𝙤 𝙬𝙚𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙬𝙖𝙢𝙚𝙛𝙖𝙣𝙞𝙠𝙞𝙬𝙖 𝙠𝙪-𝙚𝙖𝙩 𝙖𝙣𝙙 𝙧𝙪𝙣 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞. Vijana wanatumia msemo huu...
4 Reactions
79 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Hebu tujadili hii kauli ya "tuishi nao kwa akili" ilivyokaa. Mtu kama kafuga na kuishi na nyoka au hata mnyama mkali kama chui, simba nk ukimuuliza ni kwa namna gani ameweza...
1 Reactions
6 Replies
784 Views
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa Imeniuma sana kushiriki...
9 Reactions
78 Replies
5K Views
Wanawake wanafikia mipaka unayowawekea wewe kama mwanaume. Anapogundua anaweza kukufanyia kitu chochote cha kukushusha hadhi yako na uanaume wako na mipaka yako bila wewe kumfanya chochote basi...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6. Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano. Wa...
30 Reactions
186 Replies
8K Views
Waungwana natumaini mko salama. Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine. Shida ilianza baada ya...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom