Habari za jioni wapendwa katika bwana.
Jamii nyingi za Kiafrika wanao utaratibu wa mwanaume kutoa mahari ili aweze kumuoa binti.
Baadhi ya watu husema mahari ni kama shukurani kwa wazazi wa mke...
Heri ya siku njema hii ya Ijumaa.
Mimi ni kijana nina miaka 24, nipo chuoni mwaka wa mwisho. Nilileta uzi juzi juzi hapa kuomba ushauri wa vitu gani vya kuzingatia kabla umri haujanitupa mkono...
Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani.
Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha...
Hello.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mara zote nikenda lodge, guest na hotelini kwenye kunyandua sijawahi kuandika jina langu halisi hasa la mwanzoni japo mara nyingi nafake majina yote mawili...
Sifa za mwanaume rijali
Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini)
Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande
Lazima ajue kubeba majukumu
Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi...
I hope every Tanzania back home is doing pretty fine. Today I would love to share with a brief talk on how as man you can trick women and girls so that they may forced to chase you
Basically this...
Kama kawaida yetu wanaume katika matembez ya kila siku kuna Nyakati tunajikuta tunapisha watoto wa zuri nakujikuta tayari unapga sound sasa ikawa hivi.
Nilifika mgahawa mmoja hivi upo smart...
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana tena asiyetabilika. Ukilia mwenzio anacheka, ukicheka mwenzio analia. Mara zote wao ndio huwa wanapenda kufanya tuonekane sisi wanaume tuna makosa mbele za jamii...
Hello wakuu, hope mko poa.
Nimeamua ku share nanyi hii ishu kwa kutumia ID hii tofauti isiyofahamika na pia kwa sababu ni kitu ambacho nimeshindwa ku share kabisa na washikaji na marafiki zangu...
Hi!
Unakuta watu wanahimizana mno humu jukwaani,kwamba ndoa ni ya muhimu na kuwatisha vijana na kuwalazimisha waoe.... nini kipo nyuma ya haya?
Kama ndoa ni jambo la heri/manifaa so why lipigiwe...
Punyeto ni kitendo cha mtu mume au mke kujichezea via vyake vya uzazi hadi kufikia mshindo au kilele cha raha.
Punyeto ina mazuri yake na mabaya yake mengi, lakini leo nina swali la tofauti...
Habari za muda huu ndugu zangu, ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko, mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the...
Wasalaam JF !
Mie nachagua Mapenzi
Nawasalimu kwa bashasha na nderemo nyingi kuelekea siku ya wenye kubarikiwa urithi wenye turufu au maarufu mbususu a.k.a the valley of joy and happiness...
Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake.
Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake.
Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini...
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.
~...
Salaam wakuu
Mwaka 2020 nilihamia Dom kikazi. Leo naenda mwaka wa tatu Kuna aspects za kifamilia nazimiss sana.
Familia yangu ilibaki mkoa X coz mwenza wangu pia ni mtumishi sector binafsi na...
Wakuu salaam,
Wanaume tunaongoza, kuwaharibia maisha wanawake, tuliowapotezea mda mrefu kwa ahadi ya ndoa, kisha tunawatosa na kuoa wengine.
Ajabu sisi tukitoswa, na waliotupotezea muda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.