Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za...
Habari za asubuhi, Wana JF
Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto
Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka...
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake.
Ni fanye nini mm.
( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
Najuta kuoa mwanamke Historia ya ukoo wao hakuna mwenye gari passo wala elimu. Vijana mmekuwa mkilalamika kuhusu koo zenu mpaka wenyewe ndio maana mama zenu wanawaongezea ndugu kwa baba wengine...
Majaribu kila siku yananiandama mimi tu, nina wiki nimekimbia ninapokaa na kuacha kodi ya miezi 2 ikiendelela kisa mke wa mtu,
Hapa nilipoamia sasa ni siku ya tatu kuna binti, mpangaji mwenzangu...
Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli.
Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa...
1. Una miaka chini ya 35
2. Umeoa mke mzuri na mnapendana
3. Mna Afya njema
4. Mna usafiri wenu wa kuwafikiaha hapa na pale
5. Mnaishi kwenu hamdaiwi kodi
6. Sio matajiri ila pesa ya...
Wanaume tunateseka kweli, yaani unashinda kutafuta pesa kwa njia yoyote ili mwisho wa siku nyumbani kueleweke, unajitahidi kutoa pesa kwa malengo ikitokea lolote kuwe na akiba, lakini wake zetu...
Mwanamke anapenda ajisikie amani kwako ili aweze kujiachia.
Kama mwanamke wako siku hizi unaona;
Hana hamu ya kufanya mapenzi,
Uke mkavu, japo zamani alikua ukimgusa tu maji yamejaa,
Au zamani...
Huu ni mfumo uliomtoa mwanamke kutoka kuwa tegemezi na kumfanya kuwa tegemezi zaidi. Kwa kisingizio kuwa wanahaki sawa na wanaume....!
Yaani kumpaka mwanamke mafuta kwa mgongo wa chupa na...
Sina maelezo mengi ila sikutegemea kufanya chochote kwa siku ya leo kutokana na uchofu niliokuwa nao jana toka kazini, nilitaka nipumzike tu leo lakini tayari nimeshajaribiwa na naona kabisa...
unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni.
imagine siku upo umechill sehemu...
Ni kweli ukimpenda, ni kweli uli invest kwake, ni kweli mlipeana ahadi nyingi, ni kweli umepoteza muda kwake, LAKINI KWANINI ULIE, KWANINI UKATE TAMAA.
Ndugu, MUNGU anasababu kukupitisha kwenye...
Siku za hivi karibuni tumepata taarifa ya mtu maarufu sana duniani Stephen (TWitch) ambaye huonekana akiwa na furaha sana,amechangamka , anacheza na watoto wake na mkewe kiasi kwamba watu wengi...
Habari wana jamvi
Leo nilikua kwenye kikao Cha familia tukijarbu kusuluhisha hii case, uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo...
*Hello Wana JF,
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji
Sifa ya...
Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe.
Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ...
Dai chako !!!! Dai Chako...
Mimi ni Polisi: Leo Halali Nyumbani
Leo, 09/06/2015, nimekumbuka matukio mawili makubwa yaliyonikuta kwa kufuatana na ambayo si mazuri hata kuyakumbuka. Miaka kama kumi na mbili hivi iliyopita...
Tukielekea kwenye mfungo wa ramadhani ripoter wenu kaka shetani kutoka mombasa tumeshuudia kituko cha jamaa kuomba mahali yake wakati harusi imeshafanyika wiki iliyopita.
CHANZO: Baada ya...
Mke wa lecturer ananipenda lakini mimi simtaki, nifanye nini wakuu?
Mara ya kwanza nilikwenda na Lecturer kwake, siku hiyo mke wake akaniomba namba hadi leo ananimbia niwe naye kimapenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.