Usione haya anayofanya huyu mama, na wewe mwanamke ukataka uyalete kwenye ndoa yako. Utaangukia pua.
Ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia huu upumbavu. Wanawake kuweni makini na hayo...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Hivi hawa dada zetu watuambie hapa wanapata wapi ujasiri wa kuwakataa wanaume wanao wahitaji kwa lengo la kuwaoa ili hali wanafahamu wazi kabisa waoaji ni...
Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1900 huko Urusi kulikuwapo na jamaa mmoja aliyeaminika kuwa na nguvu za miujiza katika kuponya wagonjwa. Lakini vilevile alionekana kuwa ni mtu mwenye uwezo wa...
Wakuu,
Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi. Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa...
Unaweza kuwa kwenye mahusiano lakini si vile unavyotaka. Unaweza ukawa unanyimwa unyumba. Au mwanamke anakuendesha. Au unasalitiwa mara kwa mara. Au mwanamke king’ang’anizi wa vitu. Au mwanamke...
Wanawake wenye tabia hii, laana ni ya kwenu taka msitake itawatafuna....
Hakuna kitu kinamkera mwanaume akili kama anakununulia vocha na ana hakikisha bundle unalo dk zipo za kutosha tena ana...
Mtoto akikosea jambo ukampiga akalia sana kisha baada ya dakika chache unambembeleza anasahau maumivu ya kipigo anaanza kucheka na kukumbatia, kama ukimuita akakataa kuja ukimdanganya aje achukue...
Naenda Moshi kwetu kwa ajili ya kufunga ndoa baada ya karibia miezi 3 toka niachane na mke wangu ambaye tumeishi miaka kadhaa na tumebahatika kuwa na watoto pia
Nilileta huu uzi humu...
Baada ya kuniletea zawadi ya vifaa vya michezo,jezi, training shoes nk.
Kwenye maongezi akafunguka kuwa performance yangu imeshuka, eti nachoka mapema nianze mazoezi.
Na kila siku atakuwa...
Wanabodi, Mke anauma jamani.
Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana...
Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama...
Habari wakuu,
Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.
Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua...
Habari wadau, dear ex baada ya kuniacha kwa kelele nyingi siku za hv karibuni amerud, anahitaji turudiane sijamjibu moja mojaa nimemwambiaa asubir kwanza, ntamjibu wadau hv kumsamehee dear ex sio...
Habari za muda huu wakuu? Ninaimani mnaendelea poa, lakini poleni kwa wale mnaokabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo 'Kiafya' na nina imani mtarejea katika utimamu.
Wakuu, katika kuhakikisha...
Hivi kuna Mwanamume mwenye akili timamu yaani kichwa cha Familia ana mke wa aina hii?
Ok mtakumbuka wiki kadhaa nilieleza mambo yanayochangia ndoa nyingi kuvunjika... Mfano halisi ni aina ya...
Kwema wadau?
Kariakoo pamefurika leo, watoto ukizingatia hawajaenda shule kutokana na mapumziko ya siku ya leo...
Tunasherekea valentine tupo hapa kariakoo. Pamechafuka fujo na kelele kama zote...
Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?!
Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia...
Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha.
Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi...
Habari za humu!
Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.