Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kipindi nasoma, naishi home kwa wazee, mfanyakazi wa ndani aligundulika ana mimba. Ikabidi ahojiwe muhusika ni nani. Ile nyumba watoto wa kiume tulikuwa watano ( kuna mtoto wa baba mdogo nae...
116 Reactions
168 Replies
19K Views
Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
2 Reactions
39 Replies
3K Views
بسم الله الرحمن الرحيم. Mimi ni mwalim wa dini na imam katika msikiti ulipo eneo ninalo ishi... Kwa nafasi yangu huwa napokea kesi na migogoro mbalimbali kusuluhisha na kushauri. Nina wito huu...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Kama kuna mwenye kufahamu mahari za Wahaya aniambie huwa ni kiasi gani. Asanteni
0 Reactions
59 Replies
18K Views
TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi. Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara...
18 Reactions
157 Replies
12K Views
Hello JF, 👇👇👇 Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au...
4 Reactions
13 Replies
915 Views
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu...
22 Reactions
151 Replies
7K Views
Nina mtizamo hasi (negative perception)dhidi ya wanawake naomba wana saikolojia na sociologists waliomo humu kunishauri ni jenge imani umpya kwa wanawake ili niweze kua na mapenzi ya dhati sio ya...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
kwenye mapenzi... Wanawake huwa hawawana upendo ila wanatengenezewa upendo na mwanaume...naamaanisha nini? mwanamke anaweza kukupenda wewe kama alivyompenda mwanaume wake wa kwanza katika...
17 Reactions
91 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa, Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake...
75 Reactions
325 Replies
13K Views
Wakuu, Em tufahamishane kuhusu hili, mtu akisaliti (Cheat) kuna uwezekano wa uhusiano kurudi katika hali ya kawaida kabisa bila ukakasi?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Masomo yangu ya O-Level nilipata katika shule moja ya kikatoliki ya wavulana..... Nlivokua form 2 nikahamia bweni kubwa, form 1 tulikua na mabweni yetu peke yetu. Bweni kubwa wanakaa form 2,3na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Heri ya mifungo ndugu Wakristo na Waislamu. Nakumbuka wakati nikiwa kidato cha nne, 'washkaji' zangu wa enzi hizo waliwahi kunitania siku moja utani mchungu mno. Kuna jamaa yangu akabong'oa...
8 Reactions
76 Replies
3K Views
Ukimuona utadhani malaika/ Kwa jinsi alivyo umbika/ Jicho la kulainika/ Kiuno kimebinuka/ Tumbo limefutika/ Mpodo umejazika/ Sauti yake tamu hakika/ Yaani mtoto kakamilika/ Ana haiba ya...
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Nawasalimia! Nimeogopa na kutishika sana kila nisomapo baadhi ya ripoti za mashirika ya kiserikali na yale yasiyo ya kiserikali kuhusu vifo vya mabinti wakati wa kujifungua kutokana na udogo wa...
2 Reactions
14 Replies
765 Views
Mwanaume unathaminiwa kutokana na uthamani unaotoa kwenye jamii. Harakati zako na mapambano yako vitaonekana vya maana pale tu unapofanikiwa. Lakini kabla ya hapo utaonekana tu kama kijana...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli wanaopaswa kuupokea. Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao. Eti kumtumikisha dada wa kazi...
23 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA...
7 Reactions
12 Replies
807 Views
Habari za muda huu wana Jf. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwanye hoja mahususi. Mapenzi ni kitu kimoja cha ajabu sana. Ni mwaka wa pili sasa, tangu nikutane na mwanamke nahisi ndio...
2 Reactions
11 Replies
643 Views
Back
Top Bottom