Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.
Na wao...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014
Kuna mwana dada fulani ambaye alitoka mjini akaja vijijini kwetu kutembelea dada yake ambaye alikuwa ameolewa kule
Dada huyo alipofika kijijini kwetu
Alidatisha...
Kwanini hili linakushangaza wewe mwana MMU?
Kwanini unadhan hili haliwezekan ww mwana MMU?
Na wala sio suala la kumuomba Mungu wala nini bali ni lifestyle tu ya baadhi ya wateule kama sisi
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.
Kuna matukio yanayotokea na...
Ndio ngono ikemewe kwa nguvu zote, ndio nakumbuka ni mwaka huu mwanzoni, kulikuwa kuna changamoto kijijini kwetu iliyopelekea mimi kwenda kuitatatua.
Balaa nikamkuta binamu yangu mtoto wa mjomba...
Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada.
Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu.
Usitongoze...
Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata...
1. Hakuna kitu kinachotishia usalama wa mke kuliko fikra ya mwanamke mwingine kushindana kwa umakini na mapenzi ya mume wake. Hakuna kinachoumiza zaidi. Hakuna kitu cha kudharau zaidi. Hakuna kitu...
Kwa huyu mrembo niliyempata humu; nathibitisha, humu ndani bado kuna 'wife material'
Mnavyojua tena, sisi wazee mara nyingi huwa tunapenda warembo wachangamfu, wasio umiza vichwa , na wanao...
Swali hili, Kwa heshima na taadhima walipokee ndugu zangu wa kusini!
Mrima Mmoka ni kauli ya lugha ya kimakua, lugha ya jamii ya wamakua, jamii ya Hayati Ben Mkapa (Mungu amlaze mahali Pema)...
Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi.
Kwa wale ambao hawaishi na...
Huu sio urafiki
Yaani tunapishana kwenye makoldo ya jf hata kukaribishana kwa ajili ya maakuli siku ya sikukuu (jumapili) hakuna!
Tatizo ni nini? Tukaribishane wakuu
Mi nachukua nafasi hii...
Uzi huuwa kirafiki ni mahsusi kwa kuwsshukuru ama kutambua umuhimu wa members wenzetu hapa JF. Mshukuru ama tambua umuhimu wa member yeyote kwa kumtag.
Kushukuru ni jambo la kiungwana...
Wasalaam,
Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa...
Nisikuchoshe Sana,
Dada zetu wanapofikia umri wa Miaka 18 mpaka 29 Wanatesa Sana. Attention ya Kila mwanaume wanaipata kuanzia wanaume wenye Miaka 20 mpaka 50 wote wanawatolea macho Kodo...
Habari ya asubuhi ni mbaya sana. Maisha ya usingle boy ni mabaya mno.
Unaishi mwenyewe na kulala mwenyewe kama mchawi matokeo yake ndugu zangu hela yangu imenisaliti yenyewe aisee kama inavyo...
Mume wa marehemu
DJ Brown anaandika
Nilipomfumania mke wangu (red handed) mara mbili na rafiki yangu kipenzi hakuwepo yeyote kunisaidia kutatua maswala yetu!
Kila nilipoleta maswala hayo...
Yaan huyo mbaba ana kazi yake nzuri tu na huwezi mdhania hata kidogo. Hivi jamani mtu kuwa busy na kazi ndiyo usifanye hata mazoezi japo yale yakutembea? Mmh madogo yana unafuu.
Ndo nn sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.