Habari za wakati huu ndugu zangu..
Kiukweli katika harakati zangu za kimaisha nimekua nikikutana na wanawake tofauti tofauti wanafanana tabia sana ila wanazidiana tuu . Na nimekua nikiwapima sana...
Never go back to the woman who cheated.
2. Never let a woman disrespect you.
3. Never shake a hand sitting down.
4. Never go broke to impress others.
5. Never eat the last piece of something...
Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha.
Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba.
Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza...
Yeah! Imeandikwa. Ajifanyiae rafiki wengi ni kwa uangamivu wake ……..” (Mithali 18:24). Utafiti unaonyesha kuwa vijana wengi wa kiume huwa na wachumba wengi kwasababu kwa sababu zifuatazo:
Kwanza...
Habari muda huu Wana JF,
Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba.
Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda...
Yeah! Imeandikwa furaha na tabasamu mbele ya adui yako ni pigo takatifu kwake. Kwenye mahusiano mtu akikusaliti au kukumiza kwa namna yoyote ile huna haja ya kulipiza kisasi, wala kuwa na huzuni...
Unapoamua kuvaa shangaa kiunoni hakikisha mnazungusha hivyo viuno vyenu mnapokuwa na wapenzi wenu faragha,kuna wanawake wanavaa shanga lakini hawajui shanga ni ishara ya mwanamke kukata mauno...
Kwanini wanawake wa kiafrica Zaidi ya %99.99 Ni wanafki sana hujifanya hawajui chochote wakati wa kufanya mapenzi wanajilazaga kitandani pyee km magogo hawatoi ushilikiano kwa waume/wapenz wao na...
Wakuu nisiwachoshe Mimi ni kijana mwenye umri was 35 naelekea uzeeni Niko DSM nipeni ushaur jamami licha ya umri wangu kwenda suala LA mke kwangu imekuwa mtihani kiukweli nikianzisha mahusiano...
Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa wanawake kipi wanakitaka hasa katika haya maisha
Ukijaribu kumuambia ukweli unampoteza yaani anakuacha.
Ukimdanganya anasema apendi wanaume waongo
Kipi kwenu...
Yeah! Hakuna binadamu asiye na mapungufu isipokuwa Mungu pekee. Hivo basi katika kipindi chetu cha maisha ya kwenye mahusiano tunakutana na wapenzi wanaotupenda ila kuna baadhi ya tabia zao...
Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice.
Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni...
Ni muda umepita,machungu yamepungua ila historia na kumbukumbu za tukio bado zipo.kwa idhini ya mhusika mkuu nawaletea kisa hiki.
Mungu ni mkubwa na naamini wengi wetu tu wazima wa afya na kwa...
Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko.
Wakapanga...
Hey there,
Inakuwaje wadau wa humu ndani... Hope mpo poa na kama kuna tatizo lolote yeyote alienalo basi maombi yangu kwake ni Mungu amfanyie wepesi. Twende kwenye mada.
Marriage/Ndoa imekuwa ni...
Wakuu kwa sasa hali imekuwa tofauti sana wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia hali ngumu saana.
Kwa sasa imekuwa ngumu kutofautisha wife material na kahaba😁
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.
Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu...
Habari wakuu! NIMEKOMA, nimekubal!
Najiuliza maswali!
Kila Napita ni balaa, Kila ninayemuona ni shiiida, ni kwamba hawa watu wana kula tofaut?? Nilidhan Labda ni Nyashishi tu, nikaenda Kakebe...
Mwanadada Blac Chyna(34) amefanyiwa upasuaji kuondoa kalio la bandia ambalo lilikuwa likimtambulisha muda mrefu, pia amefuta tattoo alizokuwa nazo na kuondoa madude mengine yote aliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.