Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Usiseme mwanamke fulani ni mgumu. Anafanya vitu kuwa vigumu coz hayupo interested na wewe. Zigundue ishara mapema then move on.
3 Reactions
4 Replies
745 Views
Ukikutana na mwanamke"stranger" kwenye bus or wherever halaf ukawa unatamani kupata namba yake lakini unashindwa namna ya kuanza mazungumzo, wewe mwambie tu "YOU SMELL GOOD" akijibu thanks endelea...
2 Reactions
8 Replies
665 Views
Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya. Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima. Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi...
33 Reactions
149 Replies
5K Views
Huyu jamaa ni mwigizaji maarufu huko marekani, anaitwa Leonardo DiCaprio, ana miaka 48 na hajaoa wala kupata mtoto..... Hali hii imemjengea umaarufu kwasababu imeonekana ameingia kwenye...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana. Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Dear men: Chukua likizo yako ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo kuwa umefukuzwa kazi. Muelezee zaidi kuwa kulikuwa na pesa zilizopotea ikabidi ulipe kwa pesa zako zote ulizo kuwa umetunza...
49 Reactions
101 Replies
6K Views
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato. Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia...
19 Reactions
298 Replies
15K Views
Wakuu kwema? Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa. Jamaa...
9 Reactions
117 Replies
11K Views
Out there wakuu, Hivi kama mwanaume kipi bora, mwanamke apigwe mimba na jamaa huko halafu aje akubambakizie wewe au mimba yako, yani ni wewe umemjaza lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi, Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Na ukiona unaeza mnyamazia mpenzi wako na asikulalamikie kwanini umemkalia kimya ujue ANAE MPENZI wake ambae SIO WEWE. Kulalamika ni ishara ya kujali, kujali ni matokeo ya upendo, kama mwenzi...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara...
19 Reactions
55 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma hapo nilikuwa na mwanamke mmoja kwenye mausiano uyo mwanamke alikuwa ananipenda saana Lakini kwa upumbavu wangu sikujua thamani ya uyo mwanamke kwangu nikawa mtu ambaye na mtesa na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mshaurini huyu jamani... MCHUMBA WANGU ANANISHIRIKISHA KATIKA KILA KITU CHA MAENDELEO ANACHOFANYA! Mimi ni binti wa miaka 28, sijaolewa ila nina mchumba ambaye yeye ana miaka 30, nampenda sana...
20 Reactions
208 Replies
17K Views
Kuamini kwamba mapenzi yanawezekana bila kupigwa matukio, ni kama kuamini kwamba ukiwa mfanyabiashara hautokaa upate hasara hata kidogo.... Vijana mmekua mkitia sana huruma hapa JF, Mnajaribu...
3 Reactions
26 Replies
797 Views
Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50. Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom