Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
JE, UTAMJUAJE HUYO NDIYE MKEO? MJUE MKEO. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Sasa nimejihangaisha na mambo haya, wala hakuna lolote nitakalo lipata, lakini nafsi yangu itafurahi ikiwa tuu nitaimaliza...
26 Reactions
55 Replies
8K Views
Tafuta hela iwe mlizi wako usitafute hela kwa kupata wanawake wazuri. Ukiwa na hela ina kupatia heshima kwenye familia na jamii. Ukiwa na hela ukiumwa inakuwa rahisi kwako kupata matibabu mazuri...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu mother kashindwa kabisa kuvumilia mara baada ya mnyoano makini, mnyoano uliomtetemesha kama kapigwa na shoti ya umeme, akaniambia "endapo nisingeolewa basi ningeakikisha nakumiliki huwe wangu...
7 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari za krisimasi wakuu, Binafs sio nzuri, nmeianza na ajali ya mguu nikitokea kwa Mchepuko Wangu fundi cherehani chamazi asbh ya leo XMASS. HEBU TURUDI KWENYE MADA Aisee wakuu wahenga...
13 Reactions
120 Replies
7K Views
Aisee!,Asikwmabie mtu kumbe wenye miko ya pilau ndani wanafaidi kuliko sisi wenye steki!. Mwanzo nilikuwa nadhani ukiwa na nyama ya steki ndani utafaidi yale mafuta kumbe hakuna chochote...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya...
30 Reactions
281 Replies
30K Views
Yuko na mimba ya married man na anainsist atoe cause he says he is not ready for child support. She doesn't want to kill an innocent baby because of consequences of sex, please she need sober...
2 Reactions
134 Replies
4K Views
Usiku wa juzi kuamkia jana nlkua na mrembo, alikuja geto kwa ajil ya kucharazwa. Nikaanza maandalizi pale na baada ya kuhakikisha kashalowa, nikaona mda umefka wa kutia msumali kwenye mbususu...
15 Reactions
72 Replies
5K Views
😏
1 Reactions
8 Replies
539 Views
1. USIWEKE SIRI Siri humfanya mwenzako akose raha, Kuwa wazi kwake 2. USICHEZE NA WENGINE Wengi hutaniana na kubishana kuwa siyo kudanganya mradi tu hawafanyi mapenzi na wengine. Lakini kutaniana...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Jana baada ya kusoma sms ya M-Pesa imethibishwa umepokea… kama shukrani. Nilipokea simu ya mteja wangu akiwa na furaha kweli. Furaha yake ni baada ya kusikia maneno aliyokua anasubiri kuyasikia...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha tunapenda watu ambao hawatupendi au hawana hisia sawa na zetu. Hizi ni baadhi ya sababu hizo: Kutafuta uhalali: Mara nyingi tunaweza kupenda mtu...
2 Reactions
10 Replies
866 Views
Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa. Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Hivi huyu bwana bado ananyea debe? Aliviharibu sana visichana vya shule za msingi huyu. Kwa wale wenzangu na mie mliokuwa mjini kabla chipsi hazijafika lazima mtakuwa mmelisikia hili jina...
7 Reactions
255 Replies
51K Views
Hiki ndicho kizazi cha sasa kizazi cha hovyo cha wanawake wasioweza kukaa sehemu moja ya mahusiano kwa muda mrefu bila kutafuta au kujipa sababu ya kwenda sehemu nyingine ya mahusiano sababu ya...
27 Reactions
259 Replies
13K Views
Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
6 Reactions
168 Replies
7K Views
Tafiti za Kenge, Bila salamu,Kama unataka kujua kiwango cha Hasira za mtu.Kwenye jamii utaskia yule Jamaa(ANA HASIRA ZA KARIBU SANA) au (yule HANAGA HASIRA KABISA ATA UMCHOKOZE VIPI HAKASIRIKI)...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena. Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Unashindwaje kumuoa single mother kwa kumuogopa baba watoto wake kuwa bado wataendelea kupeana mzigo? Halafu unaenda kumuoa mwanamke ambae analist kubwa la wadau wanaomuwezesha kimaisha halafu hao...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize...
16 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom