Heri ya Mwaka mpya wakuuu,
Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata...
Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia.
Sasa hasira na maumivu...
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya...
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua. Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara
Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia...
Kumwambia mwanamke awe wako pekee mapema ni kama kumlazimisha penzi. Utapoteza mvuto na thamani ya penzi itakua ni ndogo. Hata wewe, mwanamke akikufata moja kwa moja anataka ulale nae...
Wakuu,
2006 Nilimpa binti mmoja mimba kwa bahati mbaya, nilimdanganya kuwa sina mke wakati nilikua nae mke alikua anafanya kazi kwenye stationary niliyokua napenda kufanyia kazi zangu tukapatana...
Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka.
Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini...
Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, katika utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa...
Habari Wana JF ,Napenda kuwatakia heri ya msimu wa pasaka.
Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Kumekuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume Kila iitwapo Leo katika Dunia ya sasa.Zipo sababu...
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo...
Habari za usiku huu waungwana..naamini wote mko salama.
Niwaambie yaliyonikuta sasa..week kama tatu zilizopita nilianza kuhisi mume wangu anakimada ila sikutaka kumuuliza wala sikutaka ajue kama...
Habari za Jumapili ndugu wa mikoa yote TZ na mlioko utawanyikoni(diaspora).
Kwa kusoma ama kusikia visa vingi vya usaliti kati ya marafiki au washkaji wawili nikiwa mdogo (miaka 14), nikaamua...
Heri ya Pasaka.
Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out.
Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu...
Habari wazee wezangu,
Nimemwomba kijana asome na aachane na mkewagu mala moja. niliuchukua ushauri wenu na kumupa nafasi ya mwisho.
Nimempa laki moja na asubuhi ya leo niliwatuma vijana wangu...
Habari za siku nyingi wadau!
Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu...
Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha...
Mimi kama mimi nimefika hatua ambayo siumii tena na moyo umekufa ganzi kabisa yaani ukiona nataka demu basi ni kwa show time, nafikiria kuoa lakini naona kabisa ninaeenda kumuoa namuonea huruma...
Hey guys naomba advice
Nimekuwa kwa ndoa since 2019; I'm 27 na sijawahi pata mtoto, mume ana miaka 33.Nimekuwa na stress sana kwa sababu Daktari alisema siwezi zaa.
Last year mwezi wa tatu I...
Hakuna anayeachwa ghafla, hakuna asiyejua kuwa hapendwi ila bahati mbaya sana kwetu, tunaziheshimu zaidi hisia zetu kuliko ishara zao kwetu.
Ukipendwa hutotumia nguvu, usipopendwa utatumia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.