Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimekuwa mfuatiliaji wa huu mtandao not so long, mwanzoni sikuweza kujiunga kwasababu sikujua namna ya kufanya hivyo. Baadae nikikutana na mtu ambae pia ni mtumiaji wa huu mtandao ndio akanipa...
37 Reactions
341 Replies
18K Views
kunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa hela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Jamani wanajf katika harakati zangu za kupunguza uiringa na kuingiza udar kiasi kichwani nkaenda kwenye bar ya kitambaa cheupe Sinza pale nilichoona ni hatari wanawake wamejichora Tattoo miilini...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Huu ni motto wangu Tangu yule Baby J, pale Lindi 2007 alivyonitamkia wakati namtongoza Ili twende beach pale Kariakoo Kwa chini Ili kibamia changu kitoe gundu. "Kilimba we ni handsome,ila huna...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi. Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo. Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo. Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za Jumatano hii! Leo nilikuwa na tafakuri nzito kuhusu personality ya watu kama R. Heriel humu jamiiforam. Si Robert tu, kuna huyu mtu anaitwa Wyatt Mathewson pia. Nilichojifunza kuhusu...
13 Reactions
111 Replies
5K Views
Kusema kweli nyie viumbe mnaoitwa wanawake mna tabia mbaya Sana. Mwanaume anaamua kukuoa baada ya kufanya mchujo uliotukuka, na wewe ndo unakuwa mwanamke bora Kati ya wanawake wote. Cha ajabu...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Hili tatizo limekuwa na Phase tatu. Miaka ya nyuma kabisa wanawake ,mabibi zetu walikuwa hawatakiwi kusikia raha ya mapenzi. Mwanamke akionekana ana enjoy mapenzi alionekana malaya. Miaka hiyo...
29 Reactions
134 Replies
21K Views
Kheri ya mwaka mpya wadau! Mara nyingi kila nikipita humu nakutana na thread nyingi zenye kulalamikia wanawake baadhi ya matendo yao mabaya wanayotufanyia wanaume,kwa mfano unakuta mwanaume...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Kweli Mungu hakunyimi vyote. Wanaume wenye sura ngumu, nzito na chachu wanayajua sana mapenzi aisee. Yaani kuanzia maandalizi yake mpaka mwisho wa tukio ni full burudani. Sio sawa na wanaume...
23 Reactions
166 Replies
23K Views
Nipo ziara Dar mitaa ya lubumbashi mbona Sioni mashangazi wakuu? Au nnataka nirudi handeni bila bila. Update: Mimi sitaki wa kupiga show nataka tu niwaone kama mnavyowasifu.
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Mada ya leo inawagusa walio katika ndoa na wale wanaotarajia kuingia. Unapoingia kwenye ndoa kitu cha kwanza ni kufikiria jinsi ya kuilinda kwa gharama yoyote. Kuingia kwenye ndoa na kutoka baada...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno. Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma...
13 Reactions
67 Replies
3K Views
Propasal za "Una mpango gani na mimi" natamani uwe Baba wa wanangu, Oooooh unajua sa hv na mimi nataka niwe na ndoa yangu" Unakuta mtu tayari ni Single Maza anakulazimisha kabisa watoto wake...
15 Reactions
71 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hiki ni kisa cha kweli ambacho kilitokea Moshi. Tarimo na Mwasha walikuwa marafiki wakubwa na wote ni wafanyabiashara, japo Mwasha tajiri zaidi. Mke wa Tarimo ni Daktari...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana...
18 Reactions
202 Replies
10K Views
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
Mimi sio mtumiaji wa Snapchat ila ilinilazimu kuanza kutumia maana kuna pisi nilikua naifukuzia. Stori ni hivi hii pisi ni muigizaji wa tamthilia huwa inarushwa Dstv ni kazuri kadada kanavutia...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwenye mapenzi nimejifunza, USIWEKEZE moyo wako kwa mpenzi wako, mapenzi yaweza kufa sekunde yoyote, Wekeza KUCHA Na nywele, maana hata vikikatika vitaota tena. Moyo unauma. Moyo uko sensitive...
28 Reactions
110 Replies
8K Views
Back
Top Bottom