Nilikata miaka kama kadhaa hivi bila kuchovya (kuosha mpini) si sababu sina pesa. Laaah ... Pesa mademu wananilia sana na vile mimi ni mpole na mwaminifu so huwa nakuwa na demu ila akiniambia...
Kwa mila na Desturi zetu za Kitanzania. Jamaa aliyeoa dada yako hata siku moja SIO NDUGU YAKO. Hii kitu inote kwa sababu kwanza kabisa dada yako akifariki jamaa anaenda kumzika kwao. Watoto wote...
Ikiwa unapenda kuolewa, lazima uolewe ndani ya miaka 2. Vyanzo vyote vinavyoaminika kama vile U.N na World Factbook vinaonyesha uwiano wa kimataifa wa Wanaume kwa Wanawake ni takriban 1:1.
Kwa...
Wakuu,
Mtaa jiran na Ninakofanya biashara Kuna mzee mmoja yuko Kwny early 60s, zamani kipindi naanza anza biashara aliwahi kua mwenye nyumba wangu kwenye fremu moja wapo Kati ya fremu zake.
Huyu...
Hello Africa
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulijuana tukiwa shule ya upili ni mda sasa tangu tuwe kwenye mahusihano sasa kila tukigombana anakunja nguo zake anataka kuondoka na...
Hello guys,
Kila mmoja wetu ajiangalie kwenye kioo kuanzia kichwa hadi unyayo..most of us tutagundua kuwa we are below average in terms of looks wanaume wachache sana hapa Tanzania wana-qualify...
Yaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje
Kwa sababu...
Salamu ndugu Wana JF
Wazazi ni jukumu lenu kuwalea watoto na kuwafundisha Kila waanachostahili ikiwemo na tahadhari zote wanazotakiwa kuzichukua katika maisha Ili kuishi vizuri.Mnapaswa kufanya...
Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu kuna binadam wana moyo sana, hili nimelithibitisha baada ya huyu bwana kunisimulia kisa chake.
Ipo hivi, huyu bwana alisoma chuo kimoja na mpenziwe, wakiwa chuo...
Kwenye mchezo wa kandanda kinachohitajika na kupata pointi tatu muhimu, hii ni muhimu Sana, haitajilishi unashinda hyo mechi Kwa goli 1, 2, 3au goli 4 muhimu ni kupata point tatu haijalishi...
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.
Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni...
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia...
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.
Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku...
Habari za mchana ndugu zangu.
Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi...
Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia...
Salamu zenu wakuu Wana JF,
Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji.
Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie...
Ipo wazi kuwa katika mfumo rasmi wa maisha ya mwanadamu, huwa unahusisha pia muunganiko wa jinsia mbili tofauti (ndoa). Ila kwa kadri siku zinavyoenda, muunganiko huu umegeuka kuwa changamoto sana...
Hi Wanajamii,
Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao...
Wasalaam....
Naomba niende moja kwa moja kwenye huu uzi ndugu zangu, huku kipenga kikiwa tayari kimeshapulizwa [emoji350]
Twende kazi sasaaa.....
Ni mwaka sasa umepita tangu niachane na Ex...
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu...
TAMAA
Tamaa huwa haidumu kamwe.
Tamaa hupigwa na kukimbia.
Tamaa ni matumizi ya muda kisha unatupa.
Tamaa huchochewa na ubinafsi.
Tamaa huwa haina subira.
UPENDO
Upendo unajituma.
Upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.