Anaesema kuwa mtoto wa nje ya ndoa ana hitilafu kijamii na kwa Mungu afikirie upya. Mwenye uwezo wa kuumba ni Mungu tu peke yake.
Kama umebahatika kupata mtoto wa nje ya ndoa mkumbatie sawa na...
Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke...
Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani?
Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu.
Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini...
Habari za wakati huu ndugu zangu...
Katika harakati zangu za kimaisha kuna kipindi hapa katikati nimepitia msongo wa mawazo mkali sana kazini uliodumu kwa muda wa mwezi mmoja na nilishindwa...
Sasa shida ni nini mpaka mnakiuka utaratibu?
The storyteller wenu nimefall in love kwa kabinti kadogo dogo ka QT. Kutokana na mitego kaliyokuwa kakinielekezea, ya kufunga khanga vibaya mbele...
Ni mejifunza kitu kikumbwa kwa stori ya Hakim, ndoa ni kama vita ya kirafika mwanamke ni "friendly enemy" ni muhimu kuchukua tahadhari na kuacha huruma wa kijinga kuna wale akisha zaa na mwanaume...
Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani
Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani...
Mfumo ni ule ule kama ilivyoandikwa Mke amuheshimu Mumewe na Mme ampende Mkewe.
Basi hili andiko linawahusu na watoto pia 'BABA AHESHIMIWE MAMA APENDWE' hili ni jukumu la wazazi kulitimiza...
Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa.
Eti kisa...
Nampenda sana huyu binti Joannah kweli, ni mpambanaji na anajua kupenda. Nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda, kupitia jukwaa hili...
Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi...
Habari wakuu, poleni na majukumu
Mimi ni kijana wa makamu nimepanga na ninajitegemea pia ni mfanyabiashara...
Shida iliyonileta hapa wakuu kuna msichana mrembo sana ambaye nilikuwa nafahamiana...
Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga.
Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi...
Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake.
Uhusiano wa mimi kuoa na...
Habari Wana JF.
Wengi wetu tumekuwa na maombi tofauti sana juu ya tuliowahi kuwa nao katika mahusiano na hatimae kuachana (ex). Nikianza kwa upande wangu nilikuwa na huyo mrembo wangu tulipendana...
Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke...
Kumtoa Arusha Kuja Dar Tsh 80,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=...
Siku moja jioni, nikiwa nimejichokea zangu kutokana na harakati za maisha za hapa na pale, nikaamua kutinga kwenye kijiwe kimoja kwa ajili ya kupata mvinyo baridi pamoja na kwenda kusikiliza mziki...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa Tuliowahi kupigwa vibuti, hebu tukumbushane changamoto tulizowahi kupitia baada ya kuona hapa sasa nimeachwa.
Mimi upande wangu nilipata tatizo la presha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.