Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.
Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini...
Habari za weekend wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimeoa miaka 9 iliyopita na watoto 3, maisha ya ndoa yako poa sana. Kwa upande wangu kulingana na mwanamke niliyebahatika...
Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha...
Habari wandugu, Moja kwa moja niende kwenye mada Apo juu. Kuna hii ishu ya 50/50 yaani mwanamke na mwanaume wawe sawa kwenye kila kitu bila kumkandamiza mmoja Kati yao. Kwa upande wangu naona ni...
Mama ndiye mwanamke wa kwanza kabisa anayekutana na mtoto wake tangu kuzaliwa, na hivyo kuwa na uhusiano wa kipekee na mtoto huyo. Mwanamke huyu anamlea mtoto wake kwa miaka kadhaa, akimpatia...
Kufunga 'PM' ni dalili ya uchoyo; ni sawa na kupika chakula kizuri na kitamu, na kujifungia ndani na makufuli makubwa, ili mgeni yeyote atakayependa kuja kukutembelea, asiweze kuingia na kula...
Hahahah ngoja nianze na kicheko unafiki, hivi wanaonijua huwa naandikaga pumba eti?
Anyway sikuumbiwa mapenzi, ninayotamani yote hufa. I hate love, ila sina jinsi, najua napoteza ila sina namna...
Habari.
Maisha yana hadithi nyingi sana ila mimi ninachokumbuka kuna muda mwanamke mmoja alikuwa amenipenda sana kipindi ambacho mimi nimetoka kumaliza chuo sina kazi ila mtoto ananielewa balaa...
Nazungumza na wewe mwanamke. Baraka yako ipo kwa mumeo, ukipata bahati ya kuolewa na mume ambaye anatimiza majukumu yake kama mume kaa kwa kutulia, muheshimu mumeo shoga, Muheshimu sana maana huyo...
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume...
Nimekaa tu nikawaza. Hawa wenzetu wakiishiwa hela wanaweza wakautumia mwili wao kama kitegauchumi. Je, sisi wanaume tukiishiwa hela na ramani hazisomi tunafanyaje?
Hebu wale wazee wenzangu...
Mfalme Sulemani anasema kimbia jangwani (Mithali 21:19) au ukae kwenye dari (Mithali 21:9) peke yako. Labda ndivyo alivyoishia yeye na wanawake zake 1,000. Ukitaka ushauri wa mwenye wake wengi...
SINGLE Lady Acheni Kukata Tamaa.
Wanaume wanaowajibika ni wengi. Kuna mwanaume anakutafuta, je uko tayari kwa ajili yake?
Unaweza kukamilisha mpango wako mwaka huu!
Wanaume wapo wengi kuliko...
Kisa cha mchezaji wa PSG Achraf Hakimi kuandikisha mali zake kwa jina la mama yake halafu mkewe kuambulia patupu mara baada ya kuachana kimewafanya wanaume wengi kupata muamko wa kutaka kuiga hiyo...
Habari wakuu.
Kama kichwa cha uzi kilivyojieleza hapo juu. Kuna hii kasumba mtu anakuuliza (hasa kwa wanaume) vipi umeoa? Ukijibu hapana atakuuliza tena, ila ushapata mtoto?
Je, ni sawa mtu...
Ni asubuhi njema!
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, maadili ya kiafrika ndiyo yaliyotulea na kutufikisha hapa tulipo.
Kuna mitazamo mbali mbali ambayo si rasmi kwa baadhi ya wanajamii kuhusiana...
Majini wakiwa kama viumbe hai nao hutamani kuwa na mke au Mume wa kibinadamu
Hali hii hupelekea kutafuta ampendaye katika wanadamu na kufunga nae ndoa hata bila binadamu huyo kupenda.
Na hizi ni...
Za mchana
Jamani leo natoa pongezi kwa Wanaume watanashati na utanashati huo unakuja kujidhihirisha ndani yani unakuta tango na sio bamia
Ila ninyi watanashati wazuri yaani halafu ndani ziro...
Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko...
I just want to know the reality of life, is it true all men cheat?
I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.