Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za usiku .. Hakuna mwanamke anapenda kusikia ukweli kutoka kwa mwanaume yeyote yule... Amini na waambieni wanaume wenzangu. Ukitaka kumpoteza mkeo, mpenzi wako au demu wako au mchepuko...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Hivi wanaume nyie ni nani kawaroga? Mimi kama mwanamke nimeumizwa sana na nitaendelea kuumizwa kila nikiona wanaume wanavujisha video clip za wanawake wenzangu wakiwa watupu chumbani wamelala...
16 Reactions
75 Replies
7K Views
Kitambo kidogo mwamba nikiwa darasa la saba najiita LY (last year ). Nilitokea kumzimia mtoto mmoja wa kipemba lakini mwamba kumwambia kuwa nampenda ndiyo ulikua mtihani mkubwa sana. Kwa kuwa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano...
23 Reactions
304 Replies
10K Views
Hello family, 👇👇👇 Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Dunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji. Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamke anajua ana thamani. Tangu azaliwe anathaminika kuliko mwanaume. Na jamii inamlinda. Jambo linalowapa nguvu kwenye suala la mahusiano. Mwanamke ana sehemu kubwa ya kuchagua mpenzi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano. Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM...
3 Reactions
145 Replies
18K Views
Kidume nilijichanga nikasema ngoja nitafute mtu wa kucheza game naye ili nifurahie jasho langu.. Nikaamua kutafuta dadapoa, nikampata tukapanga kukutana sehemu fulani. Nikamwambia andaa kabisa...
12 Reactions
84 Replies
14K Views
Kitanda changu ni nne kwa sita, mke wangu aisee ana staha sana. Kinachofurahisha Zaidi ukimshika mgongo nywele zinasisimka, ukimshika paja linatelezaa tu, ukimnong’oneza mpaka nywele za kichwani...
10 Reactions
159 Replies
15K Views
The only thing women want from men is Attention, PENIS, bank Card, Trust, Compassion, PENIS, passwords Love,jokes, cash, Orgasms, time, Gifts, Compliments, Prayers, Shoping, money and PENIS...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari wakuu, ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Hili ni moja Kati ya tukio ambalo huwa nikilikumbuka linanikata maini sana NALIA NGWENA, nikiwa nimemaliza kidato Cha nne, pale nyumbani kwetu kulikua na wapangaji vyumba vya nje vilikua vinne...
21 Reactions
47 Replies
6K Views
NDOA, NDOA, NDOA; @ Ndipo akaja Yule Malaika Awekaye Ukumbusho Katika Vitabu Sawasawa Na Matendo ya Kila Mtu ameshika Kitabu Cha mtu mmojawapo. "Bwana Kitabu Chake Ni Hiki Hapa", Alisema. ~"Jumla...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Nawaunga mkono wanaokataa ndoa, ndoa kwa sasa ni utapeli hususani kwa vijana wa kiume na wanaume. Kijana wa kiume ukishindwa kabisa kujizuia kutoishi na mwanamke basi tafuta mwanamke atakayekuwa...
17 Reactions
64 Replies
3K Views
Pichani hapa chini ni Hakimi na aliyekuwa mkewe. Kwa kuangalia tu mavazi yake, sisi makungwi tunapata jibu kuwa huyu alikuwa siyo mke, bali ni kahaba lililokubuhu. Nawaonya enyi wanaume...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Labda ameuidhiwa kazini, au Labda yupo kwenye siku zake, au Labda amegombana na rafiki zake, au Labda mtu amevaa nguo imefanana na yake, au chochote kimemuudhi. Anaweza kutaka kuondoa hasira...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. •...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanaume wengi wanaishi kwenye ndoa na inaonekana ndoa sio suluhisho la kukidhi haja zao za kimwili.Hii imetokana na sababu nyingi. Kuna mtu asubuhi ameandika Uzi kuwa “Vijana mkiingia kwenye ndoa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom