Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mnaishi pamoja lakini mpo kama mtu na dada yake. Na mahitaji yako ya kimapenzi hayatimizwi. Ujue mvuto umepungua. Inaweza kutokea hata baada ya miaka mingi ya mahusiano. Inaweza kutokea wakati ndo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo navunja kibubu anybody around Moro town tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka [emoji2957][emoji2957][emoji12][emoji490][emoji1635][emoji481]
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina...
58 Reactions
137 Replies
13K Views
Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wenye mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mzuri.
3 Reactions
96 Replies
5K Views
Nimekuwa msomaji wa threads nyingi humu ndani. Leo nimeona nilete kisa changu mwenyewe humu ndani. Husika na mada hapo juu. Ni hivi, mimi ni daktari, mwanamke niliyekuwa naishi naye ni mkulima...
115 Reactions
265 Replies
25K Views
Baadhi ya wanaume ni wajinga sana Wanaume hao hudhani kuwa wanahitaji wanawake tu kwa ajili ya ngono ila hawataki kuoa mwanamke asiye bikira. Kwa kawaida hupewa ngono kwa ukarimu kutoka kwa...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Niajeeeeeeeeeeee!! Ebhnaaaaa eeeh mmeskia ilo tofali la R.O.M.A lakuitwa #NIPENI MAUA YANGU? Aiseeee tumpe maua yake yule jamaaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]. Sikia, wale malaya wanaojiuza ni...
2 Reactions
15 Replies
915 Views
Samaleko... Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe. Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona...
49 Reactions
265 Replies
16K Views
Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D...
24 Reactions
295 Replies
18K Views
Wanaume wenzangu msile mazao na mbegu bana sisi watoto wenu tutapanda na kula nini? Yani sasa hivi hata kama nimekaa tu na washkaji kwa jinsi pisi zinavyoliwa najua tu hata nikioa wataliwa tu...
18 Reactions
172 Replies
3K Views
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki? Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana...
14 Reactions
180 Replies
21K Views
Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake. Wamelala na wanawake wasiohesabika ambao wanadhani kila mwanamke amelegea. Mwizi anaamini kila mtu anaiba.
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum poleni sana na majukumu ya kila siku na harakati za kutokomeza hili zimwi jipya la nga'mbo linalotuandama..kwa waliofunga asalaaam aleikum mola aendelee kupokea dua...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu... Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Dunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji. Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe...
31 Reactions
47 Replies
4K Views
Nawasalimu Kauli hii ya tafuta pesa, imekua si kauli ngeni sana masikioni mwetu au pindi usomapo maandishi imekua ni kauli ya kawaida sana na inakua kwa kasi sana katika wakati wetu huu. Kauli...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Hello family, Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita...
2 Reactions
13 Replies
647 Views
Habari muda huu Wana JF poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu. Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu, leo Imebidi...
6 Reactions
86 Replies
3K Views
Jamani hali zenu, Sifa za mwanaume alpha male(anayejitambua, mwenye hela/madaraka na kusimama kwenye nafasi ya kiume); 1. Yeye hajali sifa kutoka kwa wanawake iwe mke wake au akina dada wengine...
42 Reactions
81 Replies
6K Views
Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo. Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom