Hizi zinaweza kuwa sababu kuu, zinazowafanya wanawake wengi wasiwe na wapenzi wa kiume:-
Kuwajibu wanaume wanao watongoza kwa lugha ya ukali
Kuwadharau wanaume wanao watongoza kimuonekano na...
Wakuu habari za leo, Natumai kuwa nyote hamjambo.
Twende kwenye mada. Nimekuwa nikifikiria kauli kama Kupelekewa Moto, Kuliwa, Kubanduliwa na zingine myingi. Mbona kauli kama hizi zinafanya...
Nawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa...
Wakuu kuna mwanamke nilizaa naye mtoto na tulishashindwana, kwa sasa mtoto ana miaka minne.
Changamoto ninayopata huyu mtoto kashaanza kuhoji maswali, mara uko wapi unafanya nini, nataka nije...
Sikuwahi kufikiria kama jambo kama hili litakuja kutokea nchini.. Nilichozoea kuona ni watoto waliobakwa wakifanyiwa vipimo na ripoti ya daktari kusema mtoto alikutwa na michubuko ama kuonekana...
Sababu kubwa ya wanaume kufukuzia wanawake wanaojiuza huwa ni kwenda kupoza hasira na machungu ya kubaniwa na wake zao kimapenzi.
Kwenye ngono za kununua hawanyimwi wala kubaniwa na wafanya...
Habari zenu wakuu
Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga.
Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy...
Cheers [emoji1635][emoji1635] [emoji481][emoji481][emoji482]
Niko maeneo ya Moja moto Moja baridi. Kuna mambo nayakumbuka nabaki kucheka tu yaani.
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati bado...
Wakuu kuna kademu kamoja kajirani kangu ni kazuri kinoma ni kasukuma, haka kademu uwa kanakuja kwangu kuniomba muvi sasa cha ajabu uwa kanagoma kuingia ndani.
Nina mawasiliano nacho kama siku 4...
Nisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious.
Nina umri wa miaka 28, sijawahi kuwa kwenye serious relationship. Natamani sana nipate mdada tupendane ila ndio...
Kwema Wakuu!
Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo...
Nimepata likizo ya kikazi ya siku 28 nikasema ngoja nitumie hii likizo kupima Imani ya mtu ,sasa hii ni wiki ya 3 tangu nilipomwambia wife nimefukuzwa kazi, ndani ya wiki 2 za mwanzo alijifanya...
Mwanaume yeyote anayeelewa maana halisi kabisa ya kuoa, hapaswi kuthubutu kumuoa mwanamke ambae tayari ana mtoto hata kama mtoto huyo alimpata kwa bahati mbaya. Labda kama mzazi mwenzake...
Ni Kwa nini nikiweka namba ya Simu kwenye locator ili nijue sehemu alipo mtu mwenyewe Simu hiyo haikubali?
Naomba mwenye ujuzi wa kuweza kumpata mtu kwa kutumia namba ya simu anielekeze. Au kama...
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama...
Kwa madogo huenda msielewe hili, basi kaeni kwa kutulia tujifunze.
Wewe ni Baba umeoa mke mwenye mtoto/watoto, au nawe ukiwa na watoto tayari kwa mama mwingine.
Au wewe ni mama umeolewa na baba...
Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu...
Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi.
Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze...
Hivi kufanya imagination kwa sisi wanaume unapokaribia kutoa wazungu kuwa una Lucy wakati mpo na Neema sio uzifu?
Hata wanandoa wengi utamu ukikolea huwa wanapiga imagination kuwa Wana mtu fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.