Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Why do you admire someone?(Kwa nini unavutiwa na mtu?) Hapa kuna machache: 1. Akili Huwa inafurahisha kuwa karibu na watu wanaojua mambo kunizidi - ni nafasi ya Mimi kujifunza Vitu kutoka Kwao...
9 Reactions
26 Replies
925 Views
Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna MC fulani kitaa ni muongeaji mzuri, kuna siku alikuwa ana kazi mbili. Moja ilikuwa kuongoza ibada ya mazishi makaburini mida ya alasiri kwenye msiba wa mtu wake wa karibu, alipewa kazi hii...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Km hapahapa mjini darslam yalishanikuta ndo nitoke hpa nije mkoani kufuata mbususu tena ugenini nitake radhi binti
8 Reactions
14 Replies
524 Views
Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL? Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy...
12 Reactions
27 Replies
3K Views
Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa...
48 Reactions
319 Replies
23K Views
Nilikutana na huyu binti mwaka jana akiwa mmbichi kabisa, kutokana na muonekano wangu hakuwahi kuniuliza umri. ila nimempita miaka 15. Kuna siku akanipa simu niongee na mama yake, mama mtu...
29 Reactions
136 Replies
6K Views
Wanaume wenzangu hapa unafanyaje. Unaishi na mkeo tu ndani, watoto wote wapo shule anakuja nyumbani shemeji yako wa kiume ambaye ni mdogo wake na mkeo, huyu jamaa kamaliza chuo anasikilizia ajira...
23 Reactions
102 Replies
5K Views
Wasalaam wakuu Kipenzi mke wangu najua ananijali sana na kunipenda , ndiyo maana akakubali kwa kila hali na namna ifaayo kunipokea Na kabisa baraka tele ziwe juu ya huyu mwanadada juu ya...
14 Reactions
49 Replies
5K Views
Aliniambia usilegee kwa mwanamke. Eti jentlomani. Alisema mjukuu wangu Shebby achana na uzungu. Binti akikuzinguka mgonge makonzi au mbata akili ikae sawa. Alinambia uwe nare nare utachekwa. Hata...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanaume, Usimfungulie biashara mwanamke wako. Usifikirie hata kufungua biashara chini ya jina lake. Fungua biashara yako na umuajiri. Shughulika naye kama mfanyakazi mwingine yeyote na uwe...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
...
23 Reactions
293 Replies
11K Views
Jamanii nimechoka na hawa mabinti Kama mada inavyojieleza. Mi ni kijana rijali mwenye umri upatao miaka 35 Kutokana na changamoto za kimapenzi kutoka kwa hawa mabinti wa 20's nimeona sasa...
10 Reactions
66 Replies
6K Views
Leo nimeamua kuja na uzi huu kutokana na tatizo kubwa lililomo katika jamii yetu ya Kitanzania hususani sehemu za Mijini hasa miji mikubwa mikubwa. Vijana wengi wadogo (18-25) wamejikuta katika...
5 Reactions
63 Replies
15K Views
Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno. Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni familia flani hapa hapa jijini Dar es salaam. Ukiwatoa wazazi ambao washatangulia mbele ya haki, wanabaki watoto tisa. Wakike watatu na wakiume sita. Kufungua mimba ni dume na kifunga mimba ni...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa! Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata...
51 Reactions
276 Replies
19K Views
Ndiyo! Kuanzia wiki ijayo ndiyo uwongo walioaminishwa nao leo utajulikana na kudhihirika. Leo wapenzi wao wametoa visababu kedekede vya kuwafanya wawe mbali nao lkn wiki ijayo itajulikana kuwa...
1 Reactions
8 Replies
337 Views
Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Yaani upare wangu huu unanikosesha pisi kali saana, yaani nikimtongoza binti yoyote hata awe mzuri vipi akianza kuniomba pesa sijui kusuka umeme mzuka unanikata kabisa. Nipo radhi nikae nae...
7 Reactions
19 Replies
796 Views
Back
Top Bottom