Polen na majukumu!
Miaka kadhaa iliyopita nilioa, mwenzi niliyeoa alikuwa amesha zaa na mtu mwingine.
Moyo wangu ukatokea kumpenda hata kama alikuwa na mtoto, nilianza naye maisha...
Wadau, wiki liliyopita nilikuwa moro kwa mambo yangu binafsi. Mishale ya saa tano nikatinga baa moja kupata maji ya ilala. Mezani nilipokaa nilikuwa peke yangu, kupiga funda tatu tu, jimama...
Advice
Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa
What I need to...
Wanawake wengi wa sasahivi wamekuwa ni pasua kichwa katika familia zao.Wanafanya mambo ambayo yanachochea UGOMVI na chuki Kila mara.
Hawana heshima Kwa Waume zao sababu hawajui thamani ya...
Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili.
Usipotumia akili unaweza...
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti.
Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili...
INTRODUCTION
Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa.
NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari.
Anyway baada ya salama twende kwenye mada.
SCENARIO
Nina...
VIPI Shangazi? Nimeachana na mpenzi wangu baada yake kubadilisha ghafla mienendo yake.
Tulipoanza uhusiano wetu, mpenzi wangu alikuwa mwanamke mwenye heshima sana kwangu, lakini wakati fulani...
1. Watu Majani
2. Watu Tawi
3. Watu Mizizi
WATU MAJANI:
Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka...
Kumekuwa na makelele ya vijana wakisema ndoa ni wizi, utapeli na kupotezeana muda nk.
Ndoa za sasa ni tofauti kabisa na ndoa za zamani, mama na baba zetu walidumu kwenye ndoa kwa muda mrefu bila...
Ndiyo group pekee ambalo wameweka kukaa nami miezi miwili. Wamejitahidi sana ila nadhani wamefikia hatua wameshindwa
Mimi mwenzenu haya magroup ya whatsapp huwa simalizi week moja. Wanani remove...
Mwanamke aliyewafahamu wanaume, na hakuna mwanaume aliyechomoka kwake. Aliwezaje?
Alifukuzwa nchini kwake, lakini alikuja kuwa Malkia wa nchi ile ile aliyofukuzwa, Aliwezaje?
[emoji419] Mwaka 48...
Wakuu habari zenu,
Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini...
Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee...
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa...
Nimefanya uchunguzi mdogo(simple research) hapa kitaa ninapoishi na maeneo tofauti tofauti pamoja na kwenye social network, nikagundua sababu kuu muhimu zinazofanya baadhi ya wanaume kukataa kuoa...
Wengi wenu nadhani mshawahi kukutana na pingamizi za ndugu na wazazi linapokuja suala la kuolewa au kuoa mtu fulani ambaye ni mtu wa jamii tofauti na yako namaanisha kabila tofauti.
Mambo haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.