Kumeibuka mijadala kuhusu wanawake wa kaskazini na mambo yao katika mahusiano au ndoa. nachoweza kusema yote au mengi ni kweli kabisa........................
Natoa ushuhuda ambavyo imewahi...
Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo?
Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya...
Brother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za...
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba...
Nimekutana na bwana mdogo akisikitika sana, nilipo muuliza ni kipi kimekusibu?
Kumbe ilikuwa hivi, bwana mdogo alikuwa anachakata mbususu ya bure bure kutoka kwa dada wa kazi (beki tatu)...
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili...
Ni muhimu uyajue haya mapema.
Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume.
Jifunze haya mapema.
Utatumika jinsi unavyomuongoza.
Kama...
Habari zenu wakuu,
itifaki imezingatiwa
Ndugu zangu jua lilikuwepo tangu zamani na mpaka sasa hivi tunaona uwepo wake.
Mwezi ulikuwepo tokea zamani mpaka sasa tunauona mwanga wake.
Mvua...
Nipo hapa Chuo X Kuna Mwanamke nimemwambia Mimi ni Mtumishi wa Serikali nafanya Kazi ofisi ya waziri Mkuu .
Wakati tupo Katika maongezi imeingia message kwenye simu yangu , jina limeandikwa Mh...
Wife amekuwa ni mtu wa raha japo kuna vi ups and down ila muda mwingi raha imetawala.
Siku hadi siku wife anazidi kuwa kibonge mashavu yamenawiri na ngozi kuwa nzuri bila kutumia vipodozi...
Habar wana jf
Natamani wote ni wazima
Wazee hii kwangu ishakuwa kipengele nilikuwa na mwanamke tulipendana sana na kutambulika kwa wazazi wetu kuwa tupo pamoja na huyo mwanamke ila baadae...
Za sahizi humu ndani kama mjuavyo mida yangu ya wanga ndo mida mixuri zaidi kwangu kwenye kutafakari mambo mbalimbali
Majuzi nilikuja na thread ya kusema kuwa namuwaza sana demu fulani hivi...
Kuna mambo mengine yanafikirisha saana na kustaajabisha. Kuna watu walipambana usiku na mchana kutunga sheria za haki sawa kwa wote yaani mwanaume na mwanamke wote wako 50/50
Lakini cha ajabu...
Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze...
Nimeandika hivi baada ya kukutana na post Moja Zari kaandika;
"Binti kama UKIPATA nafasi ya kucheat Kwa ajili ya pesa basi tafadhali Fanya hivyo.
Hawa wanaume Wana cheat Kwa ajili ya vitu vya...
Kuna mavazi ya kike/mwanamke akivaa huwa NALIA NGWENA nasisimukamka sana mpaka kichwa Cha chini.
(1) kanga na chupi/taiti, uvaaji wa namna hii huwa nasisimka sana macho huwa yananitoka mithri ya...
Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika.
Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula...
Huu upuuzi Kila siku naukataa,kama Pesa ya Mwanamke Hainihusu yupo hapo Kwa Ajili ya nini hasa?
Hicho kinachoitwa ndoa ni Cha maana gani ikiwa kinaleta unyonyaji Kwa Mwanamke? Si Bora niwe...
Habari wana jf niende kwenye mada..
Chanzo Ni nature ya mji Kila mji una Aina fulani ya maisha ya asili kutokana na mahangaiko yamaisha yanayo sababishwa na mji husika ...
Ukija mkoani utakutana...
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.