Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
I have got myself into a very complicated situation, which I’m finding very hard to get out of. Ni hivi wife kanifuma nimo kwenye magroup ya Malaya wanaojiuza Telegram na tuna ugomvi mkubwa sana...
19 Reactions
400 Replies
97K Views
Mwanamke kuwa na kazi ni sawa. Japo zama zimebadilika, ila kiasili mwanamke anaweka mahusiano kama namba moja alafu ndo vitu vingine. Lakini mwanamke anayeweka kazi yake namba 1 huwa inaleta...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nataka kuongea na wanawake wote popote mlipo. Kwa nini siku zote ktk mahusiano au ndoa lawama ni kwa wanaume tu? Wanawake wote wanaolalamika juu ya wanaume eti ni mbwa, hawaridhiki hata...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli...
17 Reactions
141 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia kesi nyingi za hivi,tena wanawake wengi hukimbia na mali za waume zao kwenda kujichimbia nazo kwa hawara yake au mabuzi yake. Sasa najiuliza kwa nini wanakuwa na akili nyepesi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sina nia mbaya ya kudharirisha zaidi ya kuonya na kusahihisha. Leo nawambia nyie wamama na wadada wanene muweni wastaarabu na mikalio yenu.Binafsi mnanijera sana tuwapo kwenye usafiri wetu wa...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Nimempenda Glady na siwezi kuwa nae. Baada ya mda mrefu sikuwahi kujua kuwa nitapenda namna hii dah! kazi sana . Leo nadhani Glady anaondoka kurejea mwanza nami nitaenda dar anyway ndio maisha...
0 Reactions
5 Replies
742 Views
Shalom, natafuta mdada mwenye mtoto, asiye na mume, ambaye nitakuwa nikimsaidia ku cover nafasi ya baba. Nitakuwa nikimsaidia mwanae habari za shule, maadili, dini, nk. Pia nitakuwa nafanya house...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Duuh enyi wadada hata kama ni umaskini na shida ya hela mbona hata sisi wanaume wengi wetu ni maskini na tuna shida ya hela lakini wengi wetu hatuwaombi hela ovyo ovyo mademu zetu, au mademu...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Nna msela wangu mwanangu wa dam mabest kinyama toka uboyzin enzi izo sekondari, jana kanipa mchongo katika pitapita zake kamtoroka wife kazama bar kaopoa jike. Anasema katika kutulia kwake...
13 Reactions
50 Replies
25K Views
Wadau, Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili...
59 Reactions
302 Replies
57K Views
Sisi sio mafala ila bado wanaumee wanaona hiivyoo. Mi nampenda Mungu tu . Ila Kuna mtu anaringa sana eti Kisa anamashangazi plus mke ila yote life na kitambii changu, Ngoja mjerumani wangu aje...
10 Reactions
169 Replies
4K Views
Habari za mda tena wadau wa jukwaa hili pendwa la MMU. Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Katika maisha yetu ya kila siku utani ama skendo( ziwe za uongo ama za kweli) ni jambo lisilo epukika...
1 Reactions
16 Replies
933 Views
Wanawake bhana, jamaa yangu kaoa ana mkewe na watoto akajiingiza kwa mchepuko single mama, na huyu single mama alikua anajua kabisa kuwa jamaa kaoa akakubali kuingia kwenye mahusiano na mshkaji...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba tuongee wanaume wenzangu. Hebu tuache kujitia aibu ndogo ndogo kwny familia,jamii na mazingira yanayotuzunguka. Unapooa na ukaitwa baba na kichwa cha familia, Usijipigie mahesabu tu...
62 Reactions
309 Replies
9K Views
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama...
22 Reactions
92 Replies
11K Views
Nashangaa sana hivi kweli kabisa watanzania wenzangu mnakaa kwenye kongamano mnajadili suala la mtoto aolewe au asiolewe?!!! Kweli kabisa!!!! Hilo suala lipo wazi na Wala haliihitaji kupoteza...
4 Reactions
6 Replies
568 Views
Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
4 Reactions
16 Replies
885 Views
Siyo vyema kabisa kuishi nao, isipokuwa kama wazazi wako ni wazee sana ama wagonjwa na hawawezi kujitunza, hapo unaweza kuwatunza wakiwa nyumbani kwako. Kwa kawaida ukiishi na wazazi wako hasa...
3 Reactions
5 Replies
899 Views
Back
Top Bottom