I am a man. This is a story from a female friend called violette.So dont inbox me or advise me its not me
Confession by violete
Morning kindly keep me unknown, I want to share something that I...
kwanini mama anaweza kuwaeleza watoto matatizo ya baba, mfano "Baba yenu ana kimada fulani sehemu fulani," lakini kwa baba yaweza kuwa ni vigumu kuwaambia watoto kuwa chanzo cha ugomvi wetu na...
Ewe single lady kamwe usianguke kwa mwanaume aliyeoa.
Ubembelezi wake wote huishia kukulaza kitandani na kukuingilia kimwili. Kisha anakuacha ukiwa mtupu, na kurudi kwa mkewe ambaye ndiye...
Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na...
Habari zenu ndugu zangu, natumaini muwazima! Leo ningependa kushare na nyie hiki nilichokiona. Naimani kina ukweli ndani yake.
Je unapokuwa kwenye mtoko, wewe hutoa tip kwa muhudumu kwa huduma...
Wakubwa zangu nawasalimu Sana,
Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya...
Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa...
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ...
Msaada wenu tafadhali.
Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili...
Hakika nawaambieni!
Hakuna mtu awayeyote aliye wahi kufilisika Kwa kuzaa watoto wengi!
Ndugu zangu nimezunguka pote Kwa matajiri na masikini nimegundua watoto hawafilisi Bali ujio Wa sayansi na...
Kwa aina hii ya ndoa za kisasa ambazo hazina vetting ya kutosha kupata mwenza bora ni turufu.. Yaani ni sawa na kubet kisha upatie
Kwa kasi hii ya talaka.. Rejea ripoti ya RITA ni wazi ndoa hizi...
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na...
Wakuu.
Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Mimi nilipoanza first...
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu...
Wanajukwaa,
Njooni tusaidiane mawazo kidogo.. I feel lost…seriously.
Nasumbuliwa na upweke yaani Hali ya kujisikia kuwa na mtu ambaye atakuwa ni mwelewa niwe huru kufunguka kwake na yeye awe...
Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .
Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au...
Bila kuchoshana huwa napenda, Utani, masihara na kupima uelewa wa watu kwa undani zaidi.
JF Haina freedom of speech tunaongopeana tu...Maana nilipost Uzi hapa unaitwa KIVURUGE, hauna luga' isyo na...
Wakuu hivi hizi tabia za kiburi, jeuri kununa, ubishi wa hawa wanawake wanatoa wapi? Licha ya kuomba, hekima natumia lakini bado, saiv nishatimua kitambo lakini nimekausha namvutia subira. Au mi...
Moja kwa moja kwenye mada, ni jambo la kuzungumza tu pasi mihemko maana yaweza mkuta Mwamba mwenzetu yoyote siku moja kwetu sisi WANAUME. ktk eneo la makazi tunapoishi tunashuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.