Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe. Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’. Hata kama...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya...
3 Reactions
9 Replies
811 Views
Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia. Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello JF, nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara, Popote mlipo wenye...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza...
67 Reactions
250 Replies
15K Views
NILIOA MWANAMKE KUMBE JINI - 2 Mikasa ya kusisimus Kuanzia muda huo, tulianza kuongea mambo mengi, kwanza nilimfahamisha Sakina maisha yangu kuwa sijawahi kuoa na nimekuwa nikitafuta mwanamke...
0 Reactions
11 Replies
59K Views
Nina miaka 20 but sijawahi kufanya mapenzi because huwa nawaogopa sana wanawake tangu nipo form one mpaka sasa. Je, siwezi kupata madhara, na je umri gani kwa mtoto wa kiume unafaa kufanya...
3 Reactions
28 Replies
8K Views
Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Imagine nipo single tangu 2020 lakini mbususu nazikung'uta mpaka nakinai na sio zile za kununua vichochoroni, sijawahi na sitawahi kununua malaya. Natafuna mbususu zinazoeleweka tena sio girls ni...
14 Reactions
215 Replies
10K Views
Huu ni utafiti wangu wa muda mrefu. Wanawake wenye sura mbaya wanapenda sana kutumia kingereza kwenye mijadala hasa hawa wanawake wenye sura mbaya alafu wasomi. Nenda kula Twitter, Instagram...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu? Nlimuuliza amewahi date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa...
17 Reactions
84 Replies
4K Views
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi.. Mi nliona mchumba anachat...
33 Reactions
190 Replies
10K Views
Hi JF! Looking for my beloved friend by the name Alphoncine. Mara ya mwisho tuliachana chuoni Morogoro yeye alihama chuo kingine katika mazingira ya kushtukiza mimi nikiwa sipo chuoni nilipata...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Za wakati huu wana GT, naamini kama ilivyokawaida yetu kwa vile leo mkuu alivyowatunuku vyeti hao waliofanikisha zoezi la kupata japo 300m USD, kwani hata hizo hatukuwa nazo na akaendelea...
9 Reactions
91 Replies
8K Views
Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza...
2 Reactions
58 Replies
2K Views
Habar wana JF, Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mzuri sana ila ndo hivyo mnisamehe tu ndugu zangu. Wakuu nina hali ambayo nahisi sio...
13 Reactions
155 Replies
7K Views
MWANAMKE MNYENYEKEVU Vs MWANAMKE MTUMWA Anaandika, Robert Heriel Mume. Wanaume wote Duniani wanapenda Mwanamke mnyenyekevu, lakini wapo wanaochanganya unyenyekevu na Utumwa. Kwa kweli wengi...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Naitwa Mussa na naomba ushauri wenu. Mimi ni kijana wa miaka 26 kuna mwanamke mjane na ana watoto wa 4 maana aliwahi kuolewa ila mimi sijawahi kuoa bado na amekuwa akinisaidia na kunipiga taf...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Ndoa nyingi zina matatizo, ili muishi vizuri kwenye ndoa mzingatie haya: 1. Nyie ni watu wazima ambao mmekutana na mmekubaliana kuanzisha familia. 2. Mwanzoni kabisa mkutane na kutengeneza...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui...
0 Reactions
1K Replies
322K Views
Back
Top Bottom