Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za Sikukuu! Niende kwenye maada, katika pita pita zangu nimegundua wanaume wengi wanapenda Wadada wenye Mizigo. Tena wkt mwingine hata wakipita barabarani wanyabi wanashusha vioo Ili...
18 Reactions
136 Replies
7K Views
Kuna Mchambuzi Mmoja wa Michezo anayekuja vizuri kwa sasa nchini Tanzania hivi Karibuni katoka Kuoa na Boss wake Mkuu Tajiri ila Kiwembe ( Mtiaji Tukuka ) kamzawadia Gari la Kifahari na Kiwanja...
19 Reactions
70 Replies
5K Views
Mapenzi ya mbalimbali yanajumuisha; Mapenzi na mtu wa mbali na unapoishi (mkoa mwingine/ nchi nyingine). Mapenzi na mtu mtandaoni na hujawahi kukutana naye. Mapenzi na mtu ambaye ratiba zenu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanaume ni viumbe wa ajabu sana jamani leo nimeyaona maajabu yao. Iko hivi, my man nilikwenda naye kwenye mwaliko wa kula sikukuu ya idi nyumbani kwa shoga yangu Pamela, nilialikwa na shoga yangu...
17 Reactions
72 Replies
4K Views
Hellow Africa Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako. Juzi kaja mgonjwa...
59 Reactions
354 Replies
12K Views
Haya waoaji nadhani mnajionea wenyewe.. Mwanaume kama uko tayari kutawaliwa na Mwanamke Muoe tena Kwa ndoa ila usije kusema hukuambiwa. ==== TAKWIMU za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wana jf,Leo nitazungumzia dhana ambayo imejengeka kwa baadhi ya imani kuwa ni vibaya kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Nianze na mkasa wangu namna hii- Kuna kaka mmoja alitokea kumpenda binti...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi...
47 Reactions
187 Replies
11K Views
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi. Mimi kiasili nina...
20 Reactions
115 Replies
5K Views
Miaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM . Hakika tulipendana...
7 Reactions
258 Replies
20K Views
Napenda Sana mavazi waliyovaa wanawake wa zamani.Mavazi yanayopiga kelele kuwa "Mimi ni mwanamke".Enzi za mababu zetu unapokutana na Mwanamke huhitaji kumchunguza mara mbili mbili kama ni mwanamke...
6 Reactions
109 Replies
4K Views
Hellow, Habari Wana JF. Sorry Mimi sio muandishi mzuri hua nachanganya capital letters katikati, As normal Jf imekuwa na member bright sana ambao wengine washachomwa mishale mingi sana kwenye...
22 Reactions
292 Replies
28K Views
Deep inside najiona mpweke na sijui shida nini! Nkiwaza suluhisho sijui ni nini, najiona niko mwenyewe. Kuna mtu anaexperience hii hali?
16 Reactions
323 Replies
9K Views
Habari wa JF, Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na...
2 Reactions
9 Replies
725 Views
Kama mada inavyosema. Kuna vijana wenzangu wanaamini kuwa ukioa mwanamke aliyebikra ni salama zaidi na mahisiano au ndoa yake itadumu na atakuwa hana presha na mkewe. Mtu yuko tayari kuchukua...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimechunguza ndoa za ndugu zangu wengi walionizidi umri, utakuta mama anakwambia mumewe hakuwa kwenye mawazo yake, Alimpenda kijana mwingine, ila imetokea tu ameolewa na mume alie naye sasa baada...
3 Reactions
10 Replies
961 Views
Ukiona unapata shida kwenye mapenzi, hauridhiki na mapenzi unayopata, hauridhishwi kitandani. Kiasi kwamba unaona hutokuja kupata mapenzi ya kweli. Au umekata tamaa ya kufaidi mapenzi. Usijali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, nina rafiki yangu ambae tunapendana sana.yeye ni mwanafunzi wa chuo lakini pia anamchumba ambae soon tu akimaliza chuo wanatarajia kufunga ndoa. sasa tatizo ni kuwa amepata...
2 Reactions
100 Replies
14K Views
Habari wana JF Mapenzi yapo tangu enzi na enzi, mapenzi yanaleta hisia tofauti tofauti katika maisha ya mwanadamu iwe furaha huzuni, hasira msongo wa mawazo n.k. Maada yangu ya leo inajikita...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
MSAADA TAFAZALI Jambo wandugu zangu wa Tz natumaini nyinyi wote mna afya tele. Mimi kijana wenu nakuja mbele zenu kuomba msaada kwenu kwasababu nasumbuliwa sijuwi kama ni ugonjwa wala kitu gani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom