TUNZA MKEO ILI USIMCHOKE NA KUMKINAI
Anaandika, Robert Heriel
Baba
Ubongo wa binadamu unahitaji vitu tofauti Kila siku ili ubudurike. Kuona kitu kilekile, kusikia kitu kilekile, kunusa na kuonja...
Kupambana sio kutafuta hela tu. Kupambana ni kitendo cha kuwa bora na mwenye thamani zaidi kila siku. Tangu umezaliwa hauna thamani kulinganisha na mtoto wa kike. Usikae kulalamika kuhusu hilo...
Habari wakuu katika chochoro zangu za kimahusiano bwana nishadate na nesi kama wawili hivi katika wote mahusiano hayakudumu sana na kama vitabia wanafanana nashindwa kuelewa ni sababu ya kazi zao...
Hii inawezekanaje Dada zangu?
Majuzi Dada mmoja kaniomba namba. Baada ya kumpa akaanza texts. Mwishowe akauliza kama nina gf. Pamoja na kwamba sina nikasema ndio maana sikutaka mambo mengi...
Kila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo.
Sasa uvungu wangu chumbani umejaa chupi na nyingine zinanuka kweli.
1: Punguza wasiwasi:
Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza.
2: Fanya...
Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:-
Kufua nguo
Kupika
Kusafisha nyumba
Kutandika kitanda
Kutoa mapenzi moto moto
Kuongea...
Members, I would like to share with you all a summary of a chapter titled "Secret of a Happy Marriage" from the book written by Ellen G. White in 1943. The name of the book is "Your Home and...
Hello there👋👋
Vinchii caught a fine fat trout. His maiden gave him a name for his Misery, Does calls him You are Filthy- freaking sticking Animal.😢😢😢
After dwelling on this realm for many months...
Baada ya malalamiko mengi sana jukwaani juu ya vijana kuchezea kipigo cha kwenda toka kwa wake zao na migogoro mingine ningependa kushirikisha juu ya kidogo kile ambacho nakifahamu kuhusu mambo ya...
Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza. Hii ni baad ya kuachana takribani mwezi mmoja sasa kutokana na mahangaiko ya maisha.
Mwanzoni tulikuwa...
Siku mbaya inaweza kuanza kwa kupokea taarifa ambayo mbaya kutoka sehemu yoyote kwa kutarajia au kutokutatajia na inaweza kuvuruga amani ya moyo wako kwa siku hiyo.
Katika makala hii inaelezea...
Moja ya sifa ya wanawake, wanapenda mwanaume anayejiamini, wanaamini kuwa na mwanaume anayejiamini, huwaweka mbali na wivu wa kijinga na kuwa huru na maisha yao iwe ni kukutana na watu wengine...
Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe...
Mimi nimekuwa nikijiuliza maswali muda mrefu sana, kwanini Wazungu tu ndio hilo swala la ndoa za mkataba ndio wamelipa kipaumbele sana kuliko sisi Waafrika?
Na hilo suala mimi nimekuwa...
Wakuu naomba niende kwenye Mada
Nilianzisha mahusiano ya Kimapenzi na Dada mmoja mwaka 2018, Nakumbuka wakati tunakutana mambo yangu kifedha yalikuwa yanakwenda vizuri tu.
Nilikuwa na Biashara...
Ikiwa;
1. Hamfanani tabia, mtadumu.
2. Mmoja ana pesa mwingine hana, mtadumu.
3. Mmoja amesoma mwingine hajasoma, mtadumu.
4. Wote kabila tofauti, mtadumu.
5. Mmoja muongeaji mwingine mkimya...
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit...
Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill, basi nikaona simu nipo maeneo yenu, nikasema powa, nani jamani yule mtu tumuite shado, humu kuna siku mtu alikuwa ananidis sana na wengine wakaniita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.