Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu.
Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja.
Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi...
Eid mubaraka wanajamvi....
Iko ivi nina mademu watatu kila moja anaplay nafasi yake bila kujuana..
Shida inakuja kila mmoja anataka nimuoe au nimzalishe mi nawaambia muda bado na sijajipanga ivo...
Jana nilitoka na demu moja ni liyanga lenzangu ili twende tukawazomee Simba wakifunga 3 na Wydad. Hili lijidada mashallah kweli kweli toka jumatano linaniambia twende sote tukaangalie mpira...
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa...
Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup
Kwa Msaada wa Google Translator:
Umaarufu na utajiri...
Have you observed this strange behaviour by women on WhatsApp. They'll put up all these rich & handsome guys hyping them on their WhatsApp statuses, even those they don't know personally. But when...
Mdada aliniuliza siku hizo Cheese unataka nikupe hadi Nini ndo unipende....? Nikamwambia hapana. Hiyo nini akae nayo tu au awape wengine. Mimi siwezi. Siwezi oa mwanamke ambaye amenyorodoka kama...
Wewe ndo Kigoma yangu,
Mnasema wanaume siku hizi hatujui kupenda siku hizi,miye ni mwanaume na ninakupenda kinoma mama
Hakuna kama mapenzi ya wahuni mkapendana, mwanaume hip hop mwanamke hard...
Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Heshima kwenu wakuu.
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na...
Unaweza ukawa na mwanamke mzuri ila mwenye kiburi, jeuri sio kesi sana sababu anaweza badilika.
Nivipi ukiwa na mwanamke mzuri na uwezi kumtumia kisa tu una upungufu wa nguvu za kiume. Hapa...
Ndugu zangu ama vijana wenzangu kuna hili suala la kutongoza mke wa mtu ambaye hujui wametoka wapi na mmewe nataka niwape kisa cha mshikaji ambaye alikatwa kisigino maeneo ya Kibaha pale Kwa...
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika...
Sijui Wewe Unaishi Wapi Labda sehemu Ya Kishua, Uko Kwenu Munakosa Vibe La Uswahilini,
Unajua Maisha Ya Uswahilini Wewe Ukiachana Na Misosi Ya Tofauti Kama Miguu Ya Kuku Viazi Viwili Na...
Ni Ushauri tu, tunaishi na watu ndugu jamaa na marafiki, kuna wakati wanakuudhi au kukera mpaka kiwango cha juu kabisa lakini chora mstari wa maneno yako au matendo yako kuna maneno usitamke wala...
Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla..
Na tumai mko salama wote ,
Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana.
Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.