Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wale wazee wenzangu wanalio kwenye harakati ya Kutafuta mke sahihi njoo hapa tuongee. Kuna kitu kimoja kupata mwanake ni rahisi sana wanawake wako wengi sana mtaani, makazini, njiani, barabarani...
10 Reactions
137 Replies
5K Views
Nilikua ndiyo nimeamka nikajiandaa kwenda kazini.. nimetoka upande wa nje ndiko ambako kuna mabanda na vitu mbali mbali ghafla niliona kitu kilichofanya tumbo livurugike... Nikamuona paka, ila...
3 Reactions
75 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 19. Hivi karibuni nimekua nikipatwa na msukumo mkubwa wa kunywa pombe na kuvuta bangi. Kusema kweli najaribu sana kujizuia, lakini naona kama hizi jitihada zangu...
6 Reactions
229 Replies
5K Views
Mi ni mwanafunzi wa chuo, juzi tarehe 05 kulikua na birthday ya binti flani ni rafiki/mwanachuo mwenzangu aliweka kiparty flani cha magumashi, sehemu aliyopanga kulikua na chumba tupu basi kakawa...
11 Reactions
142 Replies
6K Views
Nafsi yangu inanituma kuoa baada ya kupitia maisha yenye karibu kila sura na nimempata binti mzuri wa sura na nafsi ambaye pamoja na ujinga na uchafu wangu amekua na mimi kwa takribani miaka...
1 Reactions
55 Replies
3K Views
That little space Make your smile so golden, Like perfect cleavage demonstrated in shining mineral. They its sign of fertility Like a vale of happiness When your face shows that flowery laughter.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu. Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Mahusiano yakifa, kila mmoja huwa anaelezea habari mbaya za aliyekuwa mpenzi wake, yale mazuri yote yalifutika mapenzi yalipoisha. Jamaa analalamika jinsi gani ameweza kumpangishia nyumba mpenzi...
20 Reactions
64 Replies
8K Views
Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho). Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko...
15 Reactions
51 Replies
4K Views
Simulizi:UPENDO KATIKATI YA GIZA Mtunzi:KJ07 SEHEMU YA KWANZA. ============================ Kuna wakati mwingine katika maisha ambapo upendo huzaliwa katikati ya machafuko na giza la kina. Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada. Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani...
30 Reactions
127 Replies
9K Views
Straight to the point. Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna binamu yangu ambaye nimetokea kumpenda sana, mtoto wa shangazi yangu mama yake na baba yangu wana mama mmoja wa baba tofauti. Uyo shangazi ana mtoto wake wakike nampenda sana mpaka inafika...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwenye suala la kufanya mapenzi katika ndoa au tendo la ndoa kwa mwanamke kuwa na vipaji au umri mzuri katika ndoa havina maana sana ukilinganisha na mental attitude uliyonayo kuhusiana na suala...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
Ni rahisi kupata heshima kutokana na umri wako. Lakini pale unapofungua mdomo tu utawaambia watu kila kitu kuhusu wewe. Waendelee kukuheshimu au wakushushe. Sababu unachoongea kinawakilisha...
1 Reactions
1 Replies
686 Views
Mwanamke aliyezalishwa huwa anachangamoto nyingi sana hasa pale bwana aliyemzalisha akiwa hai. Tena ikitokea mtoto au watoto aliozalishwa bado wadogo hapo kazi unayo kweli kwali. Ikitokea katoto...
70 Reactions
178 Replies
37K Views
Ndugu zangu wanaume, ukichelewa chelewa kumwaga mistari kwa mwanamke uliye mzimia kuna siku utaamka unakutana na status post "new mother in town." [emoji28] Yaani anachukuliwa sentimeta chache...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuvijana twa siku hizi.... Tunapenda sana. 1. Kulelewa na mijimama 2. Kudanga 3. Kuwa Chawa 4. Kuwa NDO BASI TENA (MASHOGA) Yaani hawataki kazi za wima, kazi sugu na kazi za kazi. Wanataka...
4 Reactions
12 Replies
869 Views
Back
Top Bottom