Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda
Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi...
Kwa wale wanaume ambao hamjaoa, bila kujali hisia zako kwa msichana, kamwe usitume emoji za matango na ndizi. Jiheshimu na umheshimu msichana wako. Kuna zaidi ya upendo na maisha kuliko hamu yako...
Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila...
Mpo poa!
Nasema hivi hamnibandui ng'oo Kwa huyu mtoto.
Sijawahi kukutana na Mwanamke mwenye mapenzi matamu kama huyu.
Endeleeni kupiga kelele Watoto wa elfu mbiri.
I'm out
Jamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini??
Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo .
Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado...
Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu?
Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo. Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi...
Hello members,
I was gone for some time hope mko poa,,,kuna kijamaa kinanidanganya eti hakijawahi kufanya kabsa.
sasa tumepanga kinaniambia it will be his first time..
My question sasa utawezaje...
Wana Jamvi, Mwenzenu leo nimekuja nnaomba ushauri, Ni zaidi ya miaka miwili sasa mambo yangu hayaendi jinsi inavyopaswa mpaka inanipelekea kuhisi kwamba inawezekana kuna kitu hakipo sawa.
Mwaka...
Wapendwa merry Christmas,
Jamani mimi naombeni ushauri maana Kuna jambo limenishinda kulifanyia maamuzi.
Mimi nimeolewa na nina watoto wawili, tumeishi na mume wangu kwa miaka kadhaa, Mme wangu...
Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother.
Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae.
Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake.
Na wazazi...
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo...
Habari za wakati huu wana JF, poleni sana na majukumu.
Wanawake wengi wamekuwa wakijivunia urembo wao kama zawadi ya uumbaji kutoka kwa Mungu na kusahau kuwa huo ni mtihani wa asili ambao...
Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine.
Ila niwe mkweli...
Those little holes
Define the margin of your beuty
Like hotsprings pouring cheeriness
They say its an angelic deformation,
With little holy ditches on your cheeks
Kisses deep down their...
Kikao cha dhalula, najua povu upande wa akina hawa au Eva, watafurusha kombola la Maangamizi, missile 05442, lada zina soma,ili kuangamiza upande wa juu, hapo ukraine, ni kwa wanaume harisi tu...
Kuna demu ambaye tulikuwa Tunapendana naye saana na kwa bahati nzuri na mbaya nilimpiga binti huyo baada ya mimi kumpa mimba binti huyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kupanga mipango ya kumuoa...
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.
Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.
Ni...
Kama mdau na mchakataji kama wengine mimi staili yangu ya uchakataji ni kuwatoa out na mbinu hii imefanya nichakate sana.
Watoto wazuri wanapenda out ila watu wa kuwatoa wengi wao wanawapeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.