Habari Wanajamii aiseeh! Nimeona bora nije kupata mchanganuo humu ndani. Hivi inakuaje mtu unaachana nae then anatafuta rafiki au ndugu yako wa karibu yako anadate nae ili kukukomoa[emoji848] hii...
1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa*** Hivi nyie wanawake nani amewaambia mkivaa mavazi hayo mnapendeza? Unakuta binti amevaa nguo fupi kama mcheza show wa Casino, akipita mbele ya watu ni...
Wanawake wa sasa wamekuwa na akili nyingi kichwani, usiishi na mwanamke bila kutumia akili ukadhani ni wajinga wanawake wana akili nyingi sana
Na sasa kumeibuka tabia ya wanawake kupeleka mimba...
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu na kwa sample kubwa nikagundua kwamba ukiwa unahutubia au uko mbele ya hadhara ya wadada watupu wewe peke yako ukawa ndio mwanaume pale halafu suruali ikatuna kwa...
WAJUE WANAWAKE WASIOJITAMBUA
1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti.
2. Anayetoa mimba kisha analala na midoli.
3. Anaye-date na mume wa mtu miaka nenda rudi, na...
Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana...
Kuna watu ambao hawawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida Nyingi, lakini...
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo
Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee
Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na...
Siku izi kuna tabia fulani ya wanaume some time najiuliza why imekuwa ivi
Mwanaume akiachwa na mwanamke kama ana picha zake za utupu ana zipost kwenye mtandao najiuliza kwanini wanafanya ivi...
NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER"
Na, Robert Heriel
Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume.
Sisi...
Akina mama habari zenu?
Naomba mniwie radhi kwa kuwauliza maswali fikirishi yanayohusu hali mnazoangalia ili mwanaume uweze kumsaidia kinywaji aweze kukata kiu yake.
Maswali yangu hayamaanishi...
Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha.
Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira...
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu.
Wengine akina GENTAMYCINE...
Asalaam,
Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu...
Atakurahisishia mchakato wa mapenzi.
Usifanye mambo yawe magumu ukishajua hilo.
We utafanya mambo yawe magumu ukifanya makosa haya;
Kuwa muoga,
Kumuachia uongozi yeye, mfano kumuuliza “ivi si...
Kenge tena,
Aisee Fanya ujinga wote taniana na Mwanaume mwenzio na kama unamdai ukimuona mjini mdai haswa ILA kama unataka kuona rangi yake nyingine jaribu kumuaibisha/ kumdhalilisha mbele ya...
Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao.
Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni...
Nilikutana na huyu dada 2019. Nikawa natumia. Wakati huo alitoka kufiwa na mme wake. Mme alikufa kwa ajali. Ana watoto 3 na mmoja alikuwa mdogo Sana wakati nakutana nae. Sasa kamekua kapo awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.