Nimepigwa tukio na mwana JF... Tukio la kuumiza sana.. Lakini hili tuliache.. Kuna watu wameamka leo wamejawa na msongo wa mawazo kutokana na yanayowakabili, wengine wamefikia mahali pa kukata...
Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana...
Habari za saa hizi wakuu,
Hivi hawa wenye wadada wakuitwa Joyce wana matatizo gani🙇?
Nilikua na demu anaitwa Joyce alikua ana maringo sana halafu anapenda sana maisha ya juu na pesa sana.
Na...
Kumekuwa na tabia ya watu kujibana bana pale wanapokuwa kwenye mahusiano, au kwenye tendo la ndoa; na kupelekea upande mwingine kutokufurahia mahusiano yaliyopo.
Na hii inapelekea kuwa na...
Katika ulimwengu huu Kuna vitu ambavyo vinarun Dunia miongoni mwa hivyo vitu ni pesa na mapenzi.
Hivi vitu Kwa Kila kiumbe chenye uhai atajihusisha navyo aidha anataka au Hataki. Ukweli ni Kuwa...
Mimi kwa sasa naishi mwenyewe baada ya kuzinguana na wife na kila mtu ku-move on. Baada ya muda nikaingia kwenye mahusiano na binti ana miaka 18, mimi yangu 42.
Nampenda na anaonyesha...
Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama /...
Heri ya mwaka mpya.
Naamini kila mtu anaendelea vyema katika kulijenga taifa,
Mimi ni kijana msomi ila najishughulisha na biashara tu binafsi, bado sijaoa.
Nimekuwa kwenye mahusiano kadhaa ila...
Wakuu..
Nimechafukwa hapa nimerudisha mpira kwa kipa sina kazi na madeal yamekata kabisa.
Mwanamke niliyekuwa naishi naye amejifungua yuko nyumbani.
Nyumbani wanasema sana nimeyakimbilia Maisha...
Sijui ni mimi pekee au kuna wengine,mi binafsi kila nikitoka kuchepuka/kumsaliti mke wangu.
Ndio napata stimu, hisia zaidi ya kupiga game punde tu nirudipo kwa mke wangu. Na game yake inakuwa si...
Ilikuwa Jumamosi flan ya kutakata sana wiki ya Christmas last year nikiwa na jamaa yangu tukaamua tukale bata "Club La charz." Time hiyo mifukoni tupo sawa kabisa, unyunyu mwingi, scrub za...
Jamani eeh napenda kuwaashauri tu ukiona mkeo, mmeo, mchumba unaeenda kuoa au kuolewa nae ambae kwenu wanamfahamu basi siku akikupiga tukio jitahidi kuwa na kifua cha kutunza siri ikiwezekana...
Nakumbuka mwaka juzi hivi kama sikosei nilikwenda kanisani pale CCCT Upanga Dar es Salaam, nilistaajabishwa na vingi sana.
Kwanza pale waumini wengi wanajiweza sana kifedha na wasomi wengi wa...
Wanaume wenzangu mpenzi/mke wako unapomkosea kili kosa/ omba radhi na ikiwezekana piga hata magoti haswa unapojua kuwa amegundua unavyo mcheat maana ni watu wa visasi Hawa.
Ipo hivi Kuna dada...
Poleni na majukumu wana jamvi, Binafsi staki kuwachosha, Baali nina jambo ambalo naomba kushea nanyi ili hata kupata uzoefu au hata idea tu maana maarifa elimu na uwezo wa kufikiri niliona nao...
Steve Jobs died a billionaire at the age of 56 from pancreatic cancer.
[https://qph]
His last words on his deathbed:
"I have reached the pinnacle of success in business. In the eyes of others...
𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚒𝚌𝚑𝚠𝚊 𝚌𝚑𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚟𝚢𝚘𝚓𝚒𝚎𝚕𝚎𝚣𝚊, 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚗𝚒 ''𝙼𝙴" ,𝟸𝟾 𝚢𝚎𝚊𝚛𝚜 𝚘𝚕𝚍, Muslim
Niende moja kwa moja kwenye point nipo kwenye mahusiano na wanawake wawili lakini nimebaki njia panda yupi nimuoe...
Hellow africans,
Ndugu zangu, wanaume wenzangu acheni uwoga kwa watoto wa kishua watoto wakishua hawabanii papuchi au kipochi manyoya awakibanii kabisa acheni huwoga kabisa.
Kwaza ukimuomba...
Wakuu,
Mimi ni kijana 30 years, nimekuwa addicted na kununua Wanawake 'totoz' wakuu. Nimenunua sehemu nyingi sana. Kwanza Rwanda mitaa ya Magerwa, Lemela, Gisenyi kwa Bongo pande za Sinza Corner...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.