Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habarini Wadau na wapenzi wangu Leo mama mfundaji nimekuja na haya machache kuwasomesha WANAUME ambao ni Wavivu hawajitumi kwa wenzi wao, Wengine hawawajali wala kuwatunza wake wao wanaona kama...
6 Reactions
82 Replies
8K Views
WARNING:Ukijiona una roho/mambo/tabia ya kike hata kwa asilimia moja, plz usioe. Twende sasa.. Hakuna kiumbe chenye akili kama mwanamke lakin amenyimwa nguvu na uvumilivu, kwa wanaume tuna 'upeo'...
38 Reactions
72 Replies
9K Views
Maumivu ya mwanamke anaposalitiwa yanaweza kuwa na athari kubwa sana kihisia. Hali hii inaweza kusababisha machungu na kuumiza moyo. Kila mwanamke anaweza kuhisi maumivu tofauti na kuonesha hisia...
16 Reactions
79 Replies
4K Views
Anaandika, Robert Heriel. Baba. Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mwanamke ambaye nilikuja kupewa baada ya kudai kuwa ana ujamzito wangu. Baada ya miezi kadhaa mimba ile iliaribika. Tukaendelea kuishi kama mume na mke. Ila kwa kipindi ambacho tulikaa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Hasa kwa wale vinganganizi kutwa nzima kufatilia kama mwanaume ana mtoto nje, ukiupata ukweli ujipange kisaikolojia!! ni heri ukae kimya umwache mme wako kama alivyo wewe kaa kimya tu maisha...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia...
1 Reactions
6 Replies
689 Views
Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi? Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapa nlipopanga ni vyumba viwili sebule na jiko, na nje kuna kibaraza mbele ya sebule ambako ni karibu na barabara. Tumekaa hapa takribani miaka miwil bila shida yoyote. Juzi kati wife ananipigia...
5 Reactions
20 Replies
880 Views
STORI: VIJANA WA NAMBA WA NAMBA 9 “Wazee wa chombezo kichuo chuo” SEHEMU YA KWANZA (01) INSTARAM @middotz_ Whatstapp: +255 655 969 973 Chombezo ni moja ya vitu wafikiriavyo vijana wengi chuoni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na...
1 Reactions
11 Replies
630 Views
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja? Nipeni...
3 Reactions
127 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu. Nimewiwa kuwasimilia safari yangu ya mahusiano hatimae kuja kumpata aliyesubiriwa kwa miongo kuwa Mrs A. Mimi ni aina ya wale vijana wa kiume wanaoamini kwenye kujitafuta...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni usiku tulivu. Naomba sasa nielekee kwenye hoja yangu moja kwa moja. Wewe unaweza, ingawa mara moja au zaidi umekuwa ukidharaulika. Umeanza darasa la kwanza mpaka la saba, ukafika sekondari na...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Hata zawadi ya Mimba msije omba. Mke wa mtu si mtu. Mke wa mtu si sumu tu peke yake ni balaa. Kimbu ana hali mbaya. Mbaya sana jamaa yangu. Soma: Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari.. Kutokana na wimbi kubwa la vijana pamoja na wanawake na mabinti wa dogo wenye tamaa mbaya ya hela, mali na anasa za hapa duniani. Vijana wengi, Wanawake na mabinti wamepotoka na kuanza...
3 Reactions
8 Replies
613 Views
Habari! Kama kichwa kinavyosema. Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Tambua: Siku hizi sio kama zamani ambapo undugu ulikuwa na thamani, damu ilikuwa nzito kuliko maji. Siku hizi unaweza ukawa na braza hapa mjini msionane miaka miwili na msipigiane simu. Siku...
60 Reactions
149 Replies
16K Views
Wakuu za sahizi Tuendee direct kwenye mada... Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI -...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni wanaume wangapi, wanaweza kuwapa kipaumbele wazazi wao kabla ya wake au wapenzi wao wa kike? Je, mke kwanza au wazazi kwanza? Karibuni kwa mjadala.
2 Reactions
24 Replies
757 Views
Back
Top Bottom