Malezi ya siku hizi ya ovyo kabisa eti unakuta wazazi wanawalea watoto wao kama kuku wa kisasa hasa hawa wa kiume yani mtoto mpaka anakua mtu mzima hajui shida yani anakua yupo slow slow yani yupo...
Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana.
Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili.
but mala nyingi ni tamaa tu ya nje.
na kumbe huyo mwanamke hana...
Kuna single mother fulani ambaye tumezoana saana kama watani tu wamakabila
Uyo single mother Ana watoto 4 na mume wake alifariki toka 2022
Sasa siku hizi anaumwa matatizo ya mgongo na kiuno
Jana...
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage
Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika...
Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa.
Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa.
Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka...
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.
Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara...
Miaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke...
Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike.
Kama kawaida...
Habari zenu
kuna swali huwa najiuliza ila bado sijapata jibu,nimeamua kuwashirikisha huwenda mtanisaidia kupata jibu ningependa hasa kupata jibu kutoka kwa wakina dada kwani wao ndio wahusika...
Tangu nimuoe nilisha gundua kwamba mke wangu alikua na tabia ya uchoya hakutaka kusaidia majirani wake tukiwa na kitu cha ziada ndugu au marafiki wakija hawapikii chakula kizuri kwenye firiji kama...
Moja ya kitu ambacho wanaume wakifanyiwa watapata amani tukiondoa mapenzi ya kitandani ni kumuheshimu na kufuata kauli yake.
Nashangaa wanawake wa sasahivi Wana ujasiri wa kumwambia mume kuwa...
Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko...
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala.
Dada...
Watu wengi sana huchunguza kigezo cha uchepukaji tu kwa mchumba wake kabla ya kuamua kufunga naye pingu za maisha.
Mimi Sexless kama kungwi mzoefu naomba niwaase ya kwamba kuchepuka hakuepukiki...
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 Nina kil0 97. Sijivunii kuwa na kil0 nyingi hivi ila napamba kuzipunguza ila na0na kama zinazidi.
Kwenye Uandishi wangu Badala ya O naweka 0 hiv0 mnivumilie...
Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.
Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya...
Kunakipindi tuliachana na mpenz wang hvyo nkawa mpweke yaan sina dem tena, akajitokeza dem mwingne ambaye tunapendana sijakaa sana ee bwana wee et dem mwingne kajitokeza ananipenda m@m@eee.
Hivi wazee wetu wanapo sema mapenzi ya leo sio kama ya zamani, najiuliza wanazungumzia zamani ipi?
Maana tukisikia music ya zamani pia na wao walikuwa wanaimba mapenzi ya leo sio kama ya zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.