Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia.
Mara ya...
Kuna hi kauli kwamba kama wataka kufa na presha au depression oa mke moja utapata kila aina ya dharau tabia mbaya kutoka kwake, hata Raisi mstaafu hassani mwinyi kataboa hiyo siri ka himiza vijana...
Na ikitokea ukakataa wakufute naniliu zako baada ya Mshughuliko huo wa Kibaiolojia hununa ( huwa na Usununu ) sana.
Nitashukuru nikiijua sababu Kuu yao.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO (...
Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto...
1. Ukiolewa bila bikra ujue mwenzia anakuchukulia ulikuwa malaya, kubali usikubali may be hiyo bikra alitoa yeye la sivyo ULIKUWA MALAYA.
KWA HISANI YA (JINO KWA JINO)..
2. Tunajalibu kulejesha...
Habari ndugu zangu,
Hivi ni kwanini siku hizi mwanamke yupo tayari kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto au watoto lakini mwanaume kuoa mwanamke mwenye watoto au mtoto inakuwa ngumu sana.
Jana, katika harakati zangu za kila siku, nilikumbana na tukio ambalo limeacha hisia nzito moyoni mwangu. Nilipokea kikaratasi kutoka kwenye Gari la Magereza, kilichotupwa kwangu na mmoja wa...
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa...
Ndio tunakutana na marafiki wengi kwenye michakato ya utafutaji riziki wengine tunasaidiana saana ila unamkuta mshkaji katoboa sikio anavaa hereni huyu kumpeleka kwenu kwa maadili ya kwenu nakua...
Ni kawaida wapenzi wanapokuwa mbali, kuwa na hamu kubwa ya kuonana kutokana na umbali, majukumu na uchumi, huwa ni kwazo wao kuonana mara kwa mara.
Ila wapo wapenzi wanakutana na changamoto...
Nashuwakuru nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na kunisihi niwapatie Zawadi ya Mimba kama ambavyo nliahidi. Na pia nyie wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudia mara tatu...
Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema...
Wanajamvi, salaam, imekuwa ni utamaduni wa walio wengi kuvishana pete za uchumba cha ajabu hapa, anayevishwa ni mwanamke, kwanini mwanaume havai?
Baadae wanandoa huvalishana pete za ndoa. Hizi...
Sijui wangapi watanielewa lakini kiukweli kupenda kunatesa jamani
Nina falsafa yangu huwa naisema sana kujikumbusha lakini bado hata mimi najikwaaa.
"What you Love, is what will make you suffer...
Mimi ni kijana na 28 years nilikutana na binti nilimpenda sana kumbe alikua na mtoto kazaa na mwanaume mwingine na mimi pia nilikua na mtoto wa nje niliona isiwe sababu nikaamua kuishi nae toka...
Wakuu haka ka weekend ka leo kazuri nimetulia home napitia pitia threads humu. Ila kuna kitu nimegundua, najua kuna watu humu walishapata wenza na wengine wamekosa kabisa
Baada ya kupitia threads...
Habarini ndugu zangu;
Natumaini wote wazima wa afya tele na mapambano yaendelee tuzidi kuuchukia umasikini
Basi iko hivi mimi ni mwanamke ila ninarafikiangu wa kiume wa shida na raha sio bwana...
Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.