Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza...
Nliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza...
Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.
Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya...
Habarini wana MMU,
Natumai ni wazima wa afya kabisa na wenye shida kidogo mungu awabariki warudi kwenye hali yao ya kawaida ya kiafya.
Hili jambo limekuwa likinitatiza sana. Na leo nimeamua...
Ni mwezi mmoja umepita tangu nilete suala hilo hapa jukwaani nisikuleta suala hilo kama mzaha ni jambo ambalo linanigusa kwa ukubwa wa kipekee na kwa kutambua umuhimu wa wanajf hasa MMU...
Mtoto wangu wa kwanza ana miaka 8 nilimpata nikiwa mwaka 2 chuo ambapo kutokana na mamake kutokuwa mvumilivu kunisubiria nimalize kusoma aliamua kuolewa na kumuacha nyumbani kwao mtoto...
Samahani kwa usumbufu wanajamii wenzangu naombeni usaidizi na ushauri kwa maisha ya hapa Dar es salaam. Shilingi 10,000/= haitoshi kwa siku kwa familia yenye mume, mke na mtoto mmoja?
Habarini.
Hivi umeshawahi kuishi na mtu msumbufu ambaye hana adabu?
Anaweza kuwa ni mkeo au mumeo huyu mtu. Mfano anaamka asubuhi alfajiri ya saa kumi na moja anawasha simu anaanza kucheka...
Nina mahusiano na dada mmoja na nlitegemea awe mke wangu hapo baadae.
Huyu dada ana mtoto na jamaa mwingine na alivyoniambia na kwamba hawana mahusiano tena na baba mwenye mtoto nkakubali...
Hellow afracan,
Wanawake mnakuwaga chanzo cha watoto kukosa huduma zao za msingi kutoka kwa baba zao kwasababu ya kauli zenu, kuna wanawake ambao huwa hawajitambui ukisha zaa na mtu unajua hali...
Kabla hujataka awe na hisia na wewe zaidi. Kabla hujataka akupende zaidi.
Anza kwanza kumfanya awe na imani nawe. Ili aweze kujiachia kwako. Akishakuamini ni rahisi kukupenda zaidi, kukusamehe...
Salaam Kabla ya Habari.
Naomba nitoe hii ripoti ya kazi:
Haloo kama mnavo ufahamu ule uzi wa member riki wa kula tunda kimasihara hapa jukwaa la MMU unavo trend humu kumbe umefika viral hadi...
Nadhani moja ya sababu iliyonifanya kuachika ni kumlaumu mke wangu kwa mambo mengi na hivyo kusababisha mapigano/magomvi makubwa.
Nikiwa na mpenzi wangu mpya, simlaumu kwa chochote. Mimi huchukua...
Wanaume wengi tumekua tukisema wanawake hawaeleweki...
Ni kweli sababu wenyewe wana jiendesha katika taswira tata.
Ujumla wa taswira hiyo tata ni kwa manufaa ya uwepo wao ila kikubwa zaidi ni...
Wale wazee ambao tuliwahi kugegeda bikira.
Changamoto gani zilikupata maana hawa mabinti wanakuwa kama kambale ni kuponyoka tu.
Ushatoa ngapi? Mwisho lini?
Je, unatamani kutoa tena au hutamani...
Kama ilivyo desturi, natanguliza salamu zangu kwenu.
Jamani kama ninavyosisitiza kila siku kua,ulimwengu wa pili una manyang'au wasiopenda uona watu wanafurahia kwa namna yoyote.
Mlinde sana...
_*A DIVORCED SINGLE MOTHER WROTE*_
I am writing to you in order to make someone understand that it's good to appreciate our partners despite their flaws.
I am 32 years of age.
My ex husband...
Unakuta mwanaume unakaza fuvu na misuli unasaka hela alafu unaacha kuzilia bata na kufanya matanuzi ya hapa na pale , bali unazitumia kumuhudumia mwanamke wako hata viela vya kubadili pichu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.