Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sijui kwa upande wenu ila kila nikitizama siku hizi single parenting imekuwa kama trend yaani kitu fulani ambacho vijana hawakiogopi. Nikitizama zaidi nawaona hawa wana saikolojia/motivation...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Ktk maisha nje ya ulimwengu wa mapenzi kuna kitu kinaitwa utapeli wa kuaminika. Hili ni kosa kisheria. Ingefaa hata ktk ulimwengu wa mapenzi hili kosa liwepo. Wale wote walio na wachumba na...
7 Reactions
116 Replies
9K Views
Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Tokea utotoni hadi sasa sijawahi kuvaa hata saa ya mkononi, ukiachilia cheni za shingoni, naona kama tabu, sasa tabu imekuja kuwa hii pete ya ndoa, nataka kuitoa kwa kuwa nahisi ni kama foreign...
1 Reactions
63 Replies
16K Views
Zawadi kubwa tulionayo kwa sasa ni uhai, na tunaishi mara moja tu. Kila mmoja amepangiwa miaka yake ya kuishi, wengine 70, 50, 60, 30, 12, 99 n.k Kutokana na mazingira hayo, miaka tuliyopewa...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanawake wanao lea Watoto wenyewe katika jamii zetu. Sio kwamba ni sifa mbaya lahasha, bali ni moja ya mfumo unaoanza kuzoeleka na kufanywa kuwa kama ndio mfumo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo. Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au...
16 Reactions
132 Replies
9K Views
Onyo: Usisome Post hii kama umewahi kutendwa na Mwanamke, utaugua Presha na stress usijue la kufanya Nazungumza na wanawake wote bila kujali umri Nasema hivi, ninyi ni Mama zetu, ni wake zetu pia...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Lady ikiwa una uraibu wa ngono, na umelala na wanaume wengi sana lakini hakuna hata mmoja wao aliyetamani kukuoa. unaweza kuushinda uraibu huo wa ngono kwa kuamua tu kuachana na hiyo tabia...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako. Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu? Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi...
2 Reactions
13 Replies
654 Views
Dada zao ( Wanawake Wakubwa ) ukiwa nao Mapumzikoni Ukiitoa Kuni Ngumu yako wanaanza Kuiogopa na kuipigia Tathmini ila kwa Mabinti wa Siku hizi kabla hata hujaitoa Mafichoni Kuni Ngumu yako tayari...
5 Reactions
6 Replies
751 Views
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada. Huyu mwanadada kwa kweli nilimwelewa sana na kuwa naye kwenye mahusiano ikatokea friction akapelekewa maneno na bypassers...
10 Reactions
183 Replies
11K Views
Leo naomba niwe brief mno kwenye hili. Wanawake wengi hawana habari kuwa michepuko ya waume zao ina drive magari makali kama vanguard, harriers etc. Wewe hujanunuliwa hata bajaji ila mwenzako...
11 Reactions
121 Replies
4K Views
Wapendwa nimeamua ku move from my house to be away from my husband not sure forever or for sometime. I have moved with the kids. Najisikia nina amani kiasi sasa though there is so much pressure...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Kama heading inavyojieleza katika mikoa michache niliyotembea na kujionea hizo umbaji za Allah, kwa dodoma kuna kitu cha tofauti, Malaya wa dodoma hawajali chochote kuhusu Condom wao...
5 Reactions
22 Replies
19K Views
Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu...
48 Reactions
135 Replies
8K Views
Wakubwa: Shikamoo Wadogo: Marhabaaaa Niende kwenye mada. Leo nilikuwa na harakati zangu tu hapa town, sasa mida ya kurudi nyumbani nipo Kawe pale magari yakawa ya shida saaana, kitendo...
27 Reactions
140 Replies
6K Views
Habari wana jf naiman wote tuwazima wa afya, nitumie fursa hii kuwapa pole na majukumu yetu ya kila siku bila kumsahau aliyejuu kwa fadhili zake. Wanajamvi nimekuja kwenu nahitaji msaada, mm ni...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Habari ya weekend ndugu zangu.. Naombeni ushauri wakuu Nataka kuoa ila mpaka sasa nashindwa kujua ni yupi ni mchague hapa 1: huyu binti ni mchaga wa kimarangu alisha wahi kua kwenye mahusiano...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani. Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu. Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Back
Top Bottom